TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Siku hizi jirani yetu M7 ana akili
Screenshot_20200411-075543.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P

ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
 
Aliyemuelewa jamaa jana naomba atufafanulie vizuri hapa maana binafsi sikuelewa alichosema.

Kwamba watu waendelee kufanya kazi zao kama kawaida huku wakichukua tahadhari mfano kunawa mikono n.k

Kwamba mipaka haitafungwa sababu TZ inataka kufanya biashara ya chakula kuuzia nchi zipatazo 8 ambao wanauhaba wa chakula?

Sasa sijaelewa ipi inapaswa kuanza kwanza ?

Which one must come first?

Actually nimetafakari sikuelewa!

Nikakumbuka yale maneno wanayosemaga kuwa :
“Ukimsikia mtoto anaongea jambo usizani limemtoka tu , huenda amemsikia baba yake akilisema hivyo hivyo”

Alisikika mlevi fulani akisema hayo!

Je ni usalama wa raia na afya zao au kufanya biashara kwanza ili kuimarisha uchumi wetu huku wananchi wakiwa kwenye hatari ya uwezekano wa kuambikizana ugonjwa hatari wa Corona?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa kuwa limetokea barazani kwenye kioo cha jamiii.
Na kama hawatachukua hatua watakwisha na tutakwisha!

Mtanzania chukua hatua, nawa mikono kwa sabuni, epuka misongamano.

kama huna safari ya lazima usije Dar es salaam! Please!
 
Watanzania kuweni waungwana japo hata kidogo. Familia zipo ktk uchungu wa kuondokewa Na mpendwa wao nyinyi kazi yenu kupika Majungu
Fitina Na upotoshaji.

Hivi unge kuwa wewe leo hii umeifiwa Na baba yako au dada yako au MJOMBA wako umgekuwa hapa mtandaoni unieneza uzushi.,..,?

Pole Kwa familia Na Kwa wana tbc Kwa kumpoteza mwenzeno. Apumzike Kwa amani
 
Kuna habari zinasambaa kuwa mtangazaji Haonga amefariki dunia usiku huu

Kama tulivyotaarifiwa kuwa leo IJUMAA KUU alifariki JOSEPH KAMBANGA huyu alikuwa meneja wa TEHAMA.

Sasa kuna taarifa zinasambaa kuwa mtangazaji mwingine pia ambaye ni HAUNGA amefariki dunia.




Sent using Jamii Forums mobile app
Lah Kambanga amefariki...!!!!!?
 
Back
Top Bottom