Nasikia na Gloria ana hali mbayaPoleni sana TBC......wafanyakazi 4 ndani ya one or two weeks inaumiza sana.....Dereva kwa ajali, Marin, Kambangwa na sasa Haonga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila anaepata maambukizi anakufa, chance ya kupona ipo pia.R.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.
View attachment 1415685
Lutengano amefariki jioni ya leo hospitali ya Mloganzila jijini Dar.
Alikuwa mtu wa watu, rafiki wa watu na mtu muungwana sana.
Coona osiee..
R.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.
Tunatabia ya kudharau mambo na hasa tukiwa kwenye mamlaka sasa inaanza kutugharimu
Kuna habari zinasambaa kuwa mtangazaji Haonga amefariki dunia usiku huu
Kama tulivyotaarifiwa kuwa leo IJUMAA KUU alifariki JOSEPH KAMBANGA huyu alikuwa meneja wa TEHAMA.
Sasa kuna taarifa zinasambaa kuwa mtangazaji mwingine pia ambaye ni HAUNGA amefariki dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Coona osie
Unafahamu uchungu wanaouopata wananchi juu ya TBC kupendelea CCM?Watanzania kuweni waungwana japo hata kidogo. Familia zipo ktk uchungu wa kuondokewa Na mpendwa wao nyinyi kazi yenu kupika Majungu
Fitina Na upotoshaji.
Hivi unge kuwa wewe leo hii umeifiwa Na baba yako au dada yako au MJOMBA wako umgekuwa hapa mtandaoni unieneza uzushi.,..,?
Pole Kwa familia Na Kwa wana tbc Kwa kumpoteza mwenzeno. Apumzike Kwa amani
Ila mkuu nasikia tayari amefariki usiku wa leo..japo ushahidi bado haujapatikana
Hivi nyie mijitu ccm inayashikaje maisha yetuHatari sana hii. CCM hawajali kabisa maisha ya Watanzania
Upuuzi mtupu.Wewe kijana acha BANGE, mtamalizika wote hapo tbc-CCM. Chukueni hatua haraka coronavirus ametua hapo.
Nasikia na it wao kavuta nowPoleni sana TBC......wafanyakazi 4 ndani ya one or two weeks inaumiza sana.....Dereva kwa ajali, Marin, Kambangwa na sasa Haonga
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshindwa kuzidhibiti hisia ya hasira umeisha kutukana na kutukana ni kukufuru Muumba. Pole sana na usipende matusi ni machukizo