Tena afadhali imeanzia huko kwenye chombo mama cha propaganda labda watawala watazinduka usingizini!Tunatabia ya kudharau mambo na hasa tukiwa kwenye mamlaka sasa inaanza kutugharimu
Adhirio sijui AridhioKuna mkuu kauliza party gani ilikua wapi ?
wewe ni hovesJamaa hana lolote. Anaandika matukio yaliyokwisha julikana na kuwateka watu kumuamini. Kama hili mbona lilishajulikana muda tu.
View attachment 1415685
Lutengano amefariki jioni ya leo hospitali ya Mloganzila jijini Dar.
Alikuwa mtu wa watu, rafiki wa watu na mtu muungwana sana.
Unajua changamoto ipo hapa hao waliofariki au wanaoumwa wameambukiza hapo kazini kwao halafu wanaambukiza majumban kwao halafu hapo majumbani kuna mabeki tatu hao ndio wanaenda kutuletea sie kina mbuchimai huku uswahiliniUzuri mmoja inaanzia huko huko juu kwao sisi tulioko huku mbuchimai hadi itufukie mbali sana
🤣🤣🤣🤣🤣mungu anatendaTena afadhali imeanzia huko kwenye chombo mama cha propaganda labda watawala watazinduka usingizini!
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1415685
Lutengano amefariki jioni ya leo hospitali ya Mloganzila jijini Dar.
Alikuwa mtu wa watu, rafiki wa watu na mtu muungwana sana.
Website moja ya wanasayansi WANASEMA aliepona anauwezo mkubwa WA kumrudia ba AKIRUDI cov aponi tena Niko OFISI ya mabasi ya Kilimanjaro NAWEKA SIMU. Bond WANANGU tuondoke JTANO siokwahiihali khaTayari Sweden wameshapanic. Waziri wao mkuu juzi kashatabiri maelfu watakufa. Huu ugonjwa siyo wakufanyia mzaha kabisa. Hata ukikupata ukapona damage still itakuwa kubwa. Nilisimuliwa na rafiki yangu kwenye simu aliambukizwa kwenye Kareoki klabu kabla ya lock down maumivu aliyopitia kabla ya kupona balaa nikama unachomwa na vipini.
Kuna super spreader alitoka nao swiss alps akawaambukiza 39
Kwahiyo ni Corona?R.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.
Mbaya zaidi kama una ndugu njeMbaya mgonjwa anatesekamwenyewe akifa unaenda onyeshwa kaburi lilepale acheni tu
Amziki
Uganda mpaka leo wagonjwa 53Mseveni tunamuona kama fara lakn kafanikiwa kuthibiti mdudu.
kama unaona anafaidi kukimbilia chato,nawewe si una gheto lako kwako mkuu???Waimba mapambio wamejificha wapi jaman ? tulisema hapa wakianza kudondoka watu mmoja mmoja watakimbia hawa jamaa, siwaoni comment section hata wakinusanusa, Mkuu anasema tuendelee kupiga kazi ila yeye kakimbilia chatow kama kweli yeye mwamba arudi mjini tuendelee kupambana.
wakuu ushauri wa bure tufuate maangalizo ya WHO, mkuu anaosema tuchape kazi katukimbia na yupo kimya mpaka siku ya kwenda kanisani ndio anaenda kuongea, kaeni kitaalam, ndani ya wiki mbil wanne wamedondoka TBC...
Sent from my iPhone using JamiiForums
sijui kadanikiwa nini,jf ina watu wandezi!Uganda mpaka leo wagonjwa 53
Asee,sasa hapo inabidi staff wa TBC wote waende karantiniAdhirio sijui Aridhio
jina linanishinda