TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

HIVI ALIKUWA MFANYAKAZI WA TBC NAANGALIA TBC TWITTER SION TAARIFA NAONA YA M.HASSAN AAMA HUYU AKUWA NA KACHEO CHA KUPEWA.TAARIFA YA MSIBA
 
Hiyo ndo Coronavirus haina mchezo ,inakula celi za kwenye mapafu,alveolis zinajaa maji,no oxygen mwisho wake ni kifo.Huo ndo ukweli ingawa uanauma.Tuchukue tahadhari.
Kidogokidogo watu wameanza kuelewa. Waliokuwa walifanya mzaha, sasa wamefumbuka macho. Ila kwa bahati mbaya sana, tumekwisha chelewa.
 
TAARIFA taarifaa
TUACHE kuuana glory Yukoo NYUMBAN salama
Screenshot_20200411-130155.png
 
Kule ni hatari zaidi maana mpo confined ndani. Ila sehemu nyingine ni supermarket. Nikifika kule natumia sanitizer kudisinfect shopping cart/Trolley. Wasiwasi wangu ni wale wanaoshika vitu anarudisha,hapo ndo namwachia Mungu. Ila yote yaliyo ndani ya uwezo wangu kujikinga nayafanya. Iam doing my best,God will do the rest.
Sawa kabisa inabidi umuachie mungu kwa yote wewe ukifanya jitihada binafsi!!

Kanisani pia kuna Kunawa mikono kabla hatujaingia,Sanitizer na hamna kupeana mikono wala kusogeleana ..

Viongozi wa dini wanajitahidi kuchukua tahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufa kufaana, uku wenye familia wanalia kupoteza wapendwa wao, uku jamaa anashangilia kupata cheo na kazi
 
Hiyo ndo Coronavirus haina mchezo ,inakula celi za kwenye mapafu,alveolis zinajaa maji,no oxygen mwisho wake ni kifo.Huo ndo ukweli ingawa uanauma.Tuchukue tahadhari.
vipokeo(receptors) vya corona virus viko kwenye mapafu(alveoli). Kwa wale wavutaji wa sigara,wenye pumu na matatizo mengine ya mapafu(other COPD conditions),ukikumbwa na hili dude,kutoboa ni mbinde. Kwa bahati mbaya haya ndo kati ya Magonjwa kumi yanayoongoza kwenye clinic zetu za afya. Wizara ya afya watuambie ukweli. Maambukizi ya mwanzo yalikuwa kwa wenye afya nzuri,lishe bora. Sasa tunaanza kipindi cha maambikizi kati ya Watanzania wenyewe. W.H.O.wailituonya tangu mwanzo, wakatoa maoteo ya ukubwa wa tatizo kuanzia katikati ya April,kwamba itatisha.
 
Back
Top Bottom