TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

2365044_0054D01A-DF87-4131-B2D2-B0392FB992CE.jpeg


Made in the mold of FOX NEWS-MSNBC journalists; zealously pro-ideology, tenacious enemy of objectivity.

The government turned to Lutengano Haonga whenever they needed an effective spinner to anchor coverages of controversial policy events such as inauguration of Stiegler's Hydropower Plant and the arrival of new planes for the national airline.

He followed his job description to the letter, a maestro of propaganda journalism. He will be missed by the state media, TBC, and by the administration at large. May he rest in peace.
 
Serikali yenu vilaza, hawakumpima walijua kafa na kisukari kwa vile huwa ana kisukari. Hawakushangaa kwa nini alikwenda hospitali kwa kuwa na shida ya kupumua? Labda walivyoona hakuwahi kusafiri kwenda nchi ya nje hivyo wakaona hakuna haja ya kupima.
Mkuu umenitoa tongotongo usoni.

Siku zote nimebaki na dilemma kuhusu kifo cha huyo mwanahabari nguli!

Niliiona ile clip yao ya party huku wakiimba 'aridhio'.

Baada ya kulishana keki na kuanza kuhojiwa, alijibu kwa shida na baadaye chozi la mtu mzima!

Nyuma ya 'pazia' zikasikika sauti zikiulizana... 'bado tu analia?'...

Wepesi wa swali na jinsi muhusika alivyolipokea kwa chozi, sikuona mantiki ya chozi hilo, nikabaki tu najiuliza!

Kumbe alikuwa anaumwa!

Pole sana kwao Tbc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime like mara [emoji817]
Mkuu sikufich me nimejifungia ndani na naenda nje iikiwa inaulazima ila brother ivi unajua impact za maneno yake kwa jamii ambayo haijaelimika na ndio sehemu kubwa ya Watanzania ? sijasema namwonea wivu ? kwanini anawaambia raia wafanye vitu ambavyo yeye vimemshinda ? anasikilizia upepo ? jamaangu haya mambo sio ya kutania hata kidogo me nawashangaa sana wazee, nenda nje if its necessary otherwise kaa home. Tatizo lenu kubwa ni ubinafsi , na ubaya ni kwamba corona inaturudia wenyewe kama wote tusipohimizana kutulia home ingekuwa atakepata kapata hampi mwenzie kama ilivyo ukimwi man, tungenyamaza ila kwa nature ya ugonjwa ulivyo majitu kama ninyi mtatuangamiza...Boris wa UK alileta dharau ivyo hivyo, wazir wa afya wa israel nae ivyo ivyo saivi wanaimba haleluya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasoma comments SMH [emoji2357]

Yaani sijaelewa kwamba mmefurahi Hao jamaa kupata huo ugonjwa au Vipi?

Yaani kwa sababu unatofautiana na mtanzania mwenzako kisiasa ndo unafurahi kwamba akome Sasa manake wanasupport upande flani. Sasa akipata Yeye wewe unashindwa Nini kuambukizwa?

Alafu Unakuta Leo umetoka ijumaa kuu au msikitini au kabla hujalala na wewe Unasali.

Tumefika huko?

Anyway Ngoja niende kwenye Lile jukwaa La vichekesho na vimbwanga manake Humu kunashangaza.
Ni kukosa kujitambua tu.
 
Wako bize na "kishindo cha awamu ya tano" wakati wanajua kuwa kwa sasa hapa chini Corona imejikita TBC!
 
Waimba mapambio wamejificha wapi jaman ? tulisema hapa wakianza kudondoka watu mmoja mmoja watakimbia hawa jamaa, siwaoni comment section hata wakinusanusa, Mkuu anasema tuendelee kupiga kazi ila yeye kakimbilia chatow kama kweli yeye mwamba arudi mjini tuendelee kupambana.

wakuu ushauri wa bure tufuate maangalizo ya WHO, mkuu anaosema tuchape kazi katukimbia na yupo kimya mpaka siku ya kwenda kanisani ndio anaenda kuongea, kaeni kitaalam, ndani ya wiki mbil wanne wamedondoka TBC...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona kuna mtoto wa kigogo aliugua, naye ni sababu ya TBC? Saccos au binafsi
 
Back
Top Bottom