Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
Pumu haiwezi kuwa chanzo cha kutopata mtoto bwana. Kwani hakuwa na watoto/mtoto ?Hivi kwa yeye kuwa na pumu ndiyo chanzo cha kushindwa kupata mtoto?
Pumu haiwezi kuwa chanzo cha kutopata mtoto bwana. Kwani hakuwa na watoto/mtoto ?Hivi kwa yeye kuwa na pumu ndiyo chanzo cha kushindwa kupata mtoto?
Wasemavyo wadau hakuwahi kupata mtoto. Ni kama Isack Gamba.Pumu haiwezi kuwa chanzo cha kutopata mtoto bwana. Kwani hakuwa na watoto/mtoto ?
Labda ni maisha aliyoyachagua ili ajikite zaidi kwenye career yake. Maana sisi wenye watoto unaweza upo kazini unapigiwa simu mtoto ana homa,unaacha kila kitu unakimbia kuhudumia mtoto.Wasemavyo wadau hakuwahi kupata mtoto. Ni kama Isack Gamba.
Duh!Labda ni maisha aliyoyachagua ili ajikite zaidi kwenye career yake. Maana sisi wenye watoto unaweza upo kazini unapigiwa simu mtoto ana homa,unaacha kila kitu unakimbia kuhudumia mtoto.
Sometimes bila evidence watu wanajiachia tu wanaongea. Kama wengine walitangazwa, yeye Marin asitangazwe kwa nini?
WasemaaaR.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.
Wameshindwa Republican wataweza CCM?Hatari sana hii. CCM hawajali kabisa maisha ya Watanzania
she's Fine[emoji24][emoji24][emoji22]
Nmeikumbuka hii komenti yako mkuu.
Inauma Sana kwakweliView attachment 1416479
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona ccm wame relax kabisa. bajeti ya zile pesa wanazogawaga wkt wa kempeni yaani rushwa ya kofia t-shirt na kanga kwa nn wasioneshe uungwana sasa kwa kiwagawia bure mask na satinaiza?
[emoji24][emoji24][emoji22]
Nmeikumbuka hii komenti yako mkuu.
Inauma Sana kwakweliView attachment 1416479
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya huyu hapa yule dada ulisema yuko hoi msikilize mwenyewe.Sahau,mimi siwezi ugua Coronavirus. Najilinda kadri niwezavyo huku nikimuomba Mungu. Tokea January wiki ya kwanza sijakanyaga church.Naepuka human to human contact.
Ni wapi nilisema huyu dada yupo hoi ?kanitag haraka sana. Nitakutumia vocha ya sh 20,000.Haya huyu hapa yule dada ulisema yuko hoi msikilize mwenyewe.
View attachment 1416677
ha ha haaa...kama trump na yeye mwanzo alisema everything is undercontrol na hapo anawaambia iran awapelekee msaada ,sijui kama wazo hilo bado analo?Msitishe watu msiitie jamii panic serikali ipo kazini kila kitu kitakuwa under control.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana nawashangaa ccm na chadema sisi tunapambana na korona nyie mnapambana kupata political sympathy na ndio kitakachotumaliza hili taifaMbona kuna mtoto wa kigogo aliugua, naye ni sababu ya TBC? Saccos au binafsi
Kuna siku mtawalipa watu mamilioni kwa ajili tu ya kumfuata Kijiti2014 anawalisha matango bila kujua!Ni wapi nilisema huyu dada yupo hoi ?kanitag haraka sana. Nitakutumia vocha ya sh 20,000.
Sasa wewe si umeshagusia dada!Tbc Mungu anawaona, kwenye taarifa yenu ya habari wala hamjagusia chochote kuhusu kifo cha Kambangwa wala Haonga......
Sent using Jamii Forums mobile app
Keki za nini na diabetesVic..
Lakini Athma alikuwa nayo toka udogoni pia na sukari ilikataa kushuka mda kidogo...last time aliongea na dada yake usiku wa mwisho..kuwa pumu imepanda ...na sugar ipo juu!
Sent using Jamii Forums mobile app