Bora wawaweke Quarantine aise
Inasemekana kuwa ofisi za utangazaji za Shirika la utangazaji la Taifa....
Inasemekana kuwa ofisi za utangazaji za Shirika la utangazaji la Taifa....
Waache kupendelea upande mmoja tu, wawe na story ambazo ziko balanced
Inaonyesha jomba utaishi milele..Safi sana..endelea na jokes zakowanaficha ila watu wamegundua futihi ya kiwango cha siGiRa, mficha maradhi kifo humuumbua shubamitii..!
Mbona wanafanana sana tu! Angalia macho na mdomo mkuu!
mkuu kidoti sio issue, wanawake baadhi huweka wanja kwenye vidoti vyao sasa siku umkute hajapaka wanja unaweza usikione
Mi nadhani hatuna haja ya kupata hizi details, kwa wakati huu..zinakusaidia Nini..Cha msingi wewe fuata masharti ya wataalam fullstop. Tafuta kazi ya kufanya ufanye usianze kuwapa watu hofu hapa isiyokuwa na mbele Wala nyuma. After all wote tutakufa ni Nani ambaye hatakufa.kumbuka binadamu wote ni mavumbi tuu na mavumbini tutarudi..tumeumbwa kwa udongo jomba..dongo linatusubiri jomba sisi ni Nani hasa...sali kwa Mungu wako uombe rehema.
Kama huamini wataalam wa bongo si Basi ufuate wataalam wazungu, si tunawasikia na kuwaona kwenye mitandao..ili mradi masharti yafuatwe fullstop.
maoni yako na muono wako, haukatazwi kuyatoa, ila usidharau ya kwangu maana ni muono wangu na maoni yangu, pole sana sana kama umekwazika!Inaonyesha jomba utaishi milele..Safi sana..endelea na jokes zako
mkuu,umeshindwa kuniuliza nikujibu vizuri mpaka uniite mshamba ? kuwa mstaarabu, sijaandika hivo kwamba sijui, yupo mtu namfahamu ana kidoti ila sio cheusi sana mpaka hua anakipaka wanja, akipiga picha bila kukiwekea wanja hakionekani ila ukiwa naye ukamuangalia karibu kama hajapaka wanja ndio unakiona.Kidoti sio wanja, acha ushamba wako. Ni alama iliyoko mwilini isiyotoka. Sasa mtu anajufumbua macho bado unabaki na ukaidi wako. Kwahiyo kidoti cha Mwegelo ni wanja au?
Sent using Jamii Forums mobile app