Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ohoooo !!! waliwekeana nini kwenye keki?R.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.
Ohoooo !!! waliwekeana nini kwenye keki?R.I.P Ile party itaondoka na wengi sana, tena na hivi walilishana keki kwa mkono, na walivyokuwa wamerundikana. Mungu tenda miujiza.
Virus.Ohoooo !!! waliwekeana nini kwenye keki ?
Watu maarufu au waliojirusha mitandaoni ndio wanawekwa kwenye Takwimu. Mwenzangu na mimi tukijifia imetoka, watatuzika tu, ila hautaonekana kwenye takwimu na ndugu zako wanaambiwa marufuku kuongea.Ummy mwalimu anaficha takwimu lakini mungu kamuumbua kwa vifo vya watumishi wa TV yao binafsi
Ukiambiwa uthibitishe kuwa waliwekewa virus kwenye hiyo keki utaweza? Mkikamatwa kwa kuzusha uongo mnaanza kulialiaVirus.
Ni kweli..ila mwenzio hapo juu..niliuliza hivyo..lakini nimeambiwa nikawaulize wendawazimu wenzangu!Sometimes bila evidence watu wanajiachia tu wanaongea. Kama wengine walitangazwa, yeye Marin asitangazwe kwa nini?
Marine ana watoto...sio mtoto...Hivi kwa yeye kuwa na pumu ndiyo chanzo cha kushindwa kupata mtoto?
Anao ..na alioa zaidi ya mara mbili...Labda ni maisha aliyoyachagua ili ajikite zaidi kwenye career yake. Maana sisi wenye watoto unaweza upo kazini unapigiwa simu mtoto ana homa,unaacha kila kitu unakimbia kuhudumia mtoto.
Marehemu..watoto anao...sio mmoja!Wasemavyo wadau hakuwahi kupata mtoto. Ni kama Isack Gamba.
Mpwa kulikuwa na party gani, mi nilikuwa busy for the past few days sijui chochote. Na Kama Marine alikuwa na COVID 19 kwa nini serikali haijasema chochote? Na kwa nini wasiwaweke quarantine wafanyakzai wa TBC ili wawaponye?
Usiogope simara njoo kwangu ujificheDuuh Mungu atusaidie naogopa sana.
Hii clip imetengenezwa tu, huyo si yeye mbona!!Haya huyu hapa yule dada ulisema yuko hoi msikilize mwenyewe.
View attachment 1416677
Kama hakujatokea kitu wanapiga miziki tu harafu wana sisitiza uzalendo yaani wafanyakazi wawili ndani ya masaa 24 wanachukulia poa, Mungu atusaidieTbc Mungu anawaona, kwenye taarifa yenu ya habari wala hamjagusia chochote kuhusu kifo cha Kambangwa wala Haonga......
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasemekana kuwa ofisi za utangazaji za Shirika la utangazaji la Taifa TBC zimegeuka kuwa karantini baada ya kutokea vifo viwili vya wafanyakazi waa ambao sababu za vifo vyao hazikuwekwa wazi.
Vifo hivyo vya kufuatana viliwahusisha Joseph Kambanga (Meneja TEHAMA) na mwandishi mwandamizi, Lutengano.
Hata hivyo Serikali imesema itazika miili ya waliofariki na ndugu wachache tu wataruhusiwa kwenda kuuga miili hiyo.
Taarifa za ndani zinadai kuwa tangu kutokea kwa vifo hivyo, watumishi waliokuwa hapo wamezuiliwa kutoka na hakuna mtu mwingine anayeruhusiwa kuingia.
Kudhihirisha hilo watangazaji waliokuwa zamu juzi hawajabadilika mpaka leo na wengi wao walionekana wakitangaza na nguo zilezile siku ya jana.
Baada ya jambo hilo mtaa ulizusha kifo cha mtangazaji mwingine wa shirika hilo Gloria Michael. Baadae ilitokea clip ikimuoneaha Gloria Michael akikanusha taarifa hizo. Jambo la kujiuliza ni kwamba huyo hakuwa na Kidoti usoni kama kile cha Gloria wa siku zote.
Soma zaidi www.bongoleo.com/2020
kweli kabisa mkuu...koote katiririka vizuri, kaja kuharibu na propaganda mwishoni. hlf mwenye uwezo wa kutoa taarifa nzito kma hii ni serikali na familia ya huyo mdada, hlf huyo dada ana ukaribu gani naye hadi aliyejitokeza amkane kuwa siye?Koooote nlkuwa nakuelewa
Ila kwny hoja ya gloria na kidot ndo nkakugundua n pumba tu
Sent using Jamii Forums mobile app