TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Nimeangalia avatar nikaona ni mtu wa purukushani kidogo.. Isack alikuwa na pumu ya kufa mtu na kwa kuzingatia kanuni hakuthubutu kuoa.

Mkuu men mwenye pumu haruhusiwi kuzaa???? Hii ndo naiskia leo .Baba yabgu mzaz ana pumu sio yakawaida na mm ni wa4 kuzaliwa💃💃💃
 
Ndiyo maana nikajiepusha kujibizana na wewe. Shukran umenielewa. Mwanaume hata sukari ya mwili ikiwa out of control basi ni shida! Pumu ndiyo kabisaaa! Unamkumbuka Isack Gamba?

Sugar sawa ila pumu?duh haya
 
Vipi waliompiga Lisu risasi sababu yakutofautiana mawazo au hii hukuiona
Nasoma comments SMH [emoji2357]

Yaani sijaelewa kwamba mmefurahi Hao jamaa kupata huo ugonjwa au Vipi?

Yaani kwa sababu unatofautiana na mtanzania mwenzako kisiasa ndo unafurahi kwamba akome Sasa manake wanasupport upande flani. Sasa akipata Yeye wewe unashindwa Nini kuambukizwa?

Alafu Unakuta Leo umetoka ijumaa kuu au msikitini au kabla hujalala na wewe Unasali.

Tumefika huko?

Anyway Ngoja niende kwenye Lile jukwaa La vichekesho na vimbwanga manake Humu kunashangaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom