rais amezungumza ukweli ulio wazi.
kama watz wote wangekuwa na maisha kama ya kwake au ya kwako,lockdown ingeshatangazwa.
lakini anatujua vyema,na anaijua nchi yake ina hali gani kiuchumi,hawezi kuwalipa msipofanya kazi,hawezi kuwapa chakula msipotafuta wenyewe.kwanini afanye kitu kije kionekane hakina maana!!!!
anasema watu waendelee na shughuli zao,lakini kwa tahadhali kubwa,kunawa mikono na kuzingatia usafi.
alipo nikwanza aliposema mikusanyiko ya ibada iendelee,hii kauli haikiwa ya kitaalamu bali imekaa kiimani zaidi,KOSA.
Sent using
Jamii Forums mobile app