TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Duuh...si uwapigie uwaambie mbona number zao zinafahamika,
kama huna jaribu kuzitafuta nenda hata kituo cha polisi uwaulize kuhusu hizo taarifa,wapi umezipata au kuziona na zinaukweli gani..
 
Mpwa kulikuwa na party gani, mi nilikuwa busy for the past few days sijui chochote. Na Kama Marine alikuwa na COVID 19 kwa nini serikali haijasema chochote? Na kwa nini wasiwaweke quarantine wafanyakzai wa TBC ili wawaponye?
Kuna kipindi walikuwa wanazindua.
 
Kuna habari zinasambaa kuwa mtangazaji Haonga amefariki dunia usiku huu



Sent using Jamii Forums mobile app
.
20200410_230145.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Magonjwa ushaishi Trondheim? Victoire alishaishi pia mimi nilishigi huko ndio maana nikamshtua Trondheim hali tete. Alishangaa siku moja jamvini 2013 nikimtajia watu hapo.

Ngoja niwndelee na ashish yangu ya Afghanistan
Ukishavuta hashish zako za Christiania unaanza kuandika porojo hapa jamvini. Hii ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom