Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ohooooo !!!Yes...nimeumia pia...ukifa hujaacha mtoi unasahaulika mapema sana
Ohooooo !!!Yes...nimeumia pia...ukifa hujaacha mtoi unasahaulika mapema sana
Hee..hii ndo naiskia leo...!
Aiseeee !!!google" Marin wa TBC chupuchupu" utapata story na picha zake akiokolewa na Polisi
google" Marin wa TBC chupuchupu" utapata story na picha zake akiokolewa na Polisi
Pamoja na kumuombea. Lakini kwa desturi yetu huku Tanganyika, mtu anapo fariki hasa ndio wakati wa wengi kutamani kumfahamu zaidi ya vile tulivyo mtazama kwa machoHilo la kuoa si muhimu sana , Tumuombee marehemu jamani
Apumzike kwa amani .
Ni miongoni mwa waandishi wachache Mahiri aliyekufa masikini .
Huyu Kuna kisa nimekikumba pale Jangwani kwenye mkutano ule Ile nyomi wakati wa uchaguziApumzike kwa amani .
Ni miongoni mwa waandishi wachache Mahiri aliyekufa masikini .
Duhhhh....U-CCM ulimzidi hadi ukamfanya awe masikini kichwani na mfukoni.
Huyu Kuna kisa nimekikumba pale Jangwani kwenye mkutano ule Ile nyomi wakati wa uchaguzi
Any way apumzike panapo stahili
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlikuwepo siku hyo pale karibu yake alichezea kdg sana chozi lilimtokaHee..hii ndo naiskia leo...!
Ahsante kwa kutujuza mkuuHapana...
Namfahamu...
Ameoa mara tatu na kaacha watoto wawili...
RIP
Sent using Jamii Forums mobile app
Apumzike kwa amani .
Ni miongoni mwa waandishi wachache Mahiri aliyekufa masikini .
Nguli gani huyo hata mm msimbazi na msikilizaji nguli simjui?
Lile nyomi nami nilikuwepo aisee, nilikuwa nina hamasa sana kipindi kileLile nyomi sitasahau..ni kweli siku ule matangazo sijui umeme ulikua unayeya!mhhh
kuna uzi nimeuona kuna mdau anasema afikiriwe uteuzi na watawala, Mola kaamua kumteua aende kwakeApumzike kwa amani .
Ni miongoni mwa waandishi wachache Mahiri aliyekufa masikini .
Nlikuwepo siku hyo pale karibu yake alichezea kdg sana chozi lilimtoka
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlikuwepo siku hyo pale karibu yake alichezea kdg sana chozi lilimtoka
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..am shocked..sijamuona kitambo maskini..alafu niliwahi sikia hajawahi kuoa...oh