Cogito ergo_sum
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,648
- 2,930
R.I.P
Ni bora ufe maskini kuliko kufa tajiri kwa mali ya ufisadi.Apumzike kwa amani .
Ni miongoni mwa waandishi wachache Mahiri aliyekufa masikini .
Acha uzombi wewe, unataka nani akutajie chanzo cha kifo chake? Serikali yenu hiyo iliyosheheni Wapuuzi watupu?
Mkuu hapo neno masikini huwa linatumika visivyo. Hiyo inatokana na direct translation from 'poor somebody' kwa maana ya kuonesha sympath ila waswahili wanasema 'masikini fulani', badala yake ilitakiwa useme marehemu(wa kuhurumiwa/showing sympath) fulani.Mkuu ndio maana huwa tuna msemo mtu yeyote akifa awe tajiri au maskini lazima tuseme “Maskini Fulani kafariki”
Unaondoka mazima bila kitu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Inna lillah wainna ilahy rajiuunTANZIA
Nguli wa habari nchini Tanzania, Marin Hassan Marin amefariki dunia leo Aprili 1, 2020 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Martha Swai.
TANZIA

Pole sana PaschalShocking news, Marine Hassan Marine, nimefanya nae kazi TVZ kisha TBC, ni mmoja wa watangazaji mahiri kabisa.
RIP Marine Hassan Marine
P
Sawa kabisa,watu ujuaji mwingi sijui inasaidia niniHilo la kuoa si muhimu sana , Tumuombee marehemu jamani
Mkuu inabidi uwe unaandika tanzia Kama mzee Mohammed Said afanyavyoShocking news, Marine Hassan Marine, nimefanya nae kazi TVZ kisha TBC, ni mmoja wa watangazaji mahiri kabisa.
RIP Marine Hassan Marine
P
Jambo la kusikitisha. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Acha uzombi wewe, unataka nani akutajie chanzo cha kifo chake? Serikali yenu hiyo iliyosheheni Wapuuzi watupu?