TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

Hii habari sijaelewa
Was he sick?! Ajali au imekuaje maana tushazoea lazima taarifa ya kifo kiambatane na chanzo chake
Rest in peace Sir!!!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mimi pia nilikuwepo..sema nilikua nyumaa
Mimi nilikuwa karibu kwenye baa moja, nikiwa karibu na "Katibu mwenezi" Nape. Kwenye Baa hiyo, ndipo Nape aliweka MAMILIONI, akidai Eddo hawezi kuhutubia kwa dakika kumi.
 
Quinine,
Pole kwa familia ya TBC, marehemu hasemwi ial TBC ni vilaza na hawana uwiano wa habari, yani wao ni TAWI LA CCM, .

ni wakati muafaka kwa AYUBU RYOBA ambaye muda wake umeisha pale TBC kuachia damu changa kama huyu mama SWAYkuendesha TBC.

Ryoba kamaliza muda wake ila yupo dodoma ku-lobby ili aendelee kubaki hapa studio
 
Back
Top Bottom