TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

Sijui kwanini msibani ndio kuna umbea sana[emoji134]
Nadhani sababu kubwa ni kwakuwa huo ndio mwisho wa maisha yake hapa duniani, na sasa watu huamini kwamba binadamu anamaisha mengine yalio jificha tofauti na vile tunavyo muona, na hapi ndipo hasa tatizo linapo anzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya Marehemu mahala pema peponi amina, nakukumbuka kwenye kipindi chako cha "Nyumba ya jilani" Kenya walikuwa wametifuana, na pia nikiwa Mwanafunzi wa Chuo mwaka 2004 ulivyoweza kufanya coverage ya mgomo mmoja wa wanafunzi Chuoni. Pole kwa TBC, Tasnia ya Habari kwa ujumla na familia ya marehemu. R.I.P Mzee wa Twende zetu Dodoma.
 
Back
Top Bottom