TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

Apumzike kwa amani, nimpongeze kwa kukuza kiswahili

Sent from my TECNO K8 using Tapatalk
 
Nakumbuka siku ile malin unamdadavua al Bashir ukasema Ni bingwa wa maparashuti ulikuwa mjuvi sana Hassan nitakukumbuka daima kwa sauti yako thabiti
 
Apumzike kwa amani .

Ni miongoni mwa waandishi wachache Mahiri aliyekufa masikini .
Alikuwa makini Enzi hizo, mara baada ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani aliamua kujitoa ufahamu na akaanza kuongea kama taahira eti "tunakwenda Dodoma" mara ooh "kishindo sijui cha nini" amemaliza akiwa bure kabisa, alazwe anapostahili
 
Alichangamkia machafuko nchi jirani hadi kuchukiza- ametangazaa kishabiki zaidi.
 
Back
Top Bottom