TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

Allah ampe pumziko la milele. TBC na watangazaji nguli na mahiri wamepata pigo. Nilitamani Sana kufanya nae kazi ya kuelimisha jamii kwenye mradi wangu. Lakini haitawezekana tena mara ya mwisho nilimwona Kwa mzee wa upako
 
ki ukweli marehem alijipendekeza sana kwa serikali ya CCM adi kufikia level ya kuhatarisha uhai wake, lakin hao jamaa totally walimtosa............ kwa kweli ccm si wema kabisa
 
No bado sio Mbunge bali ni mwana CCM mtajajiwa, nikiishagombea na kupitishwa na CCM ndio nakuwa Mbunge mtarajiwa, nikiisha kula kiapo ndio nakuwa Mbunge wa CCM.
P
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku hizi sio kama zamani hamna tena kugombea, utasikia tu huyu mupe au huyu usimupe.
Na kwa jinsi ulivyo na njaa utasikia tu sauti kutoka kilwa kivinje inasema "huyu kwa kimakonde ni njaa usimupe, maana kwa njaa yake ukimupa atamaliza chakula chote"
Alisikika mfarisayo mmoja katika filamu ya Yesu anasema maneno hayo.
 
ki ukweli marehem alijipendekeza sana kwa serikali ya CCM adi kuhatarisha uhai wake, lakin hao jamaa walimtosa totally............ kwa kweli ccm si wema kabisa
Hiyo ni kwa huko bara ..ila unguja inajulikana ni mpinzani wa asili na hili lilimcost sana miaka ya nyuma pale TVZ mpaka akasema anahamia .bara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom