TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

Magwiji wa Habari wanaondoka sasa hivi tunashuhudia"Uandishi pasipo na Elimu " Paskali leo baada kusikia kifo cha Marine nimekumbuka Ndugu yangu na kaka ako Marehemu Karim Besta
Shocking news, Marine Hassan Marine, nimefanya nae kazi TVZ kisha TBC, ni mmoja wa watangazaji mahiri kabisa.

RIP Marine Hassan Marine
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be free kuuliza
RIP Marine Hassan Marine
P
Niulize hapahapa msibani? Sio vizuri msibani tukaanza kupiga stori za kidunia, kwa sisi waislam tumeambiwa msiba ni mawaidha tosha kwa wenye hofu ya ALLAH, Naomba nije PM
 
Mungu awafanyie wepesi wafanyakazi wa Tbc katika kipindi kigumu wanachokutana nacho maana ni siku moja tu baada ya kumpoteza dereva wao mkongwe kwa ajari ya gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo siku wajinga si ndio hivyo
FB_IMG_1585727601856.jpg

siku ya wajinga haiwezi kuwa kiasi hicho
 
Mkuu ndio maana huwa tuna msemo mtu yeyote akifa awe tajiri au maskini lazima tuseme “Maskini Fulani kafariki”
Unaondoka mazima bila kitu


Sent from my iPhone using Tapatalk
Hajapata hata teuzi moja sijui alikosea wapi huyu jamaa
 
Back
Top Bottom