TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

Serikali wapuuzi watupu! How. Unakunyaa hapa kwa Amani. Unalindiwa usalama wako na mama yako na baba yako na wadada na mume wako. Then unaita wapuuzi.

Kuambiwa hapa Kuna ulinzi wa Siri za mtu zisikufanya kuwa mwepesi ku advertise your stupidness.


Sent using Jamii Forums mobile app
Robati Mara nyingi mshenzi huwa hajitambui na huita anaotafautiana nao kuwa ni 'washenzi wakati yeye anatembea nao.
 
HOW COVID-19 KILLS--I'm a Surgeon--And Why We Can't Save You



Source : Duc C. Vuong MD

N.B
Gonjwa la Covid-19 lipo hivyo tuzingatie maelekezo tunayopewa na Wizara ya Afya jinsi ya kujikinga na corona kwa kufuata hatua hizi rahisi : epuka misongamano, kukumbatiana, kusogeleana , epuka kuwa abiria wa bodaboda, nawa mikono mara kwa mara kwa maji yanayotiririka n.k
 
Serikali wapuuzi watupu! How. Unakunyaa hapa kwa Amani. Unalindiwa usalama wako na mama yako na baba yako na wadada na mume wako. Then unaita wapuuzi.

Kuambiwa hapa Kuna ulinzi wa Siri za mtu zisikufanya kuwa mwepesi ku advertise your stupidness.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kitimoto, hawa wauaji wa akina Ben Saanane, Azory Gwanda na waliotaka kuua Tundu Lisu kwa risasi mchana kweupe, wanalinda usalama gani wa Wananchi?
 
Kazi ya uandishi wa habari ni noble professional kama ilivyo kazi ya aulimu, polisi, zimamoto, na kazi za kanisa, ni kazi ya wito na ni kazi ya kujitolea.

Sio haki kusema amekufa masikini, kwasababu umasikini na utajiri ni relative, sisi waandishi wa habari wa kitaifa, wote maisha yetu ni ya kawaida sana, sio masikini, sio matajiri it depends.

Kule kwenye Usukumani watu wanatembea kwa miguu, mtu mwenye baiskeli ndie tajiri na anagombewa na wanawake.

Tudumishe Uafrika wetu na Utanzania wetu kwa kuzungumza yale mazuri tuu ya Marehemu.
RIP Marine Hassan Marine
P
Kwa sababu wasukuma ni washamba[emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANZIA

Nguli wa habari nchini Tanzania, Marin Hassan Marin amefariki dunia leo Aprili 1, 2020 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Martha Swai.

HII DODOMA INAMEZA WATU WENGI SANA SIJUI SHIDA NI NINI
 
SO sad,miongoni mwa wanahabari bora hapa Tanzania mheshimiwa MARIN alikuwa miongoni mwao,kweli dunia tunapita,pumzika kwa amani mheshimiwa MARIN.Napenda kuwapa pole ndugu,jamaa,marafiki,mke na watoto na pia watazamaji wote wa TBC.Mbele yetu nyuma yako,R.I.P
 
Robati Mara nyingi mshenzi huwa hajitambui na huita anaotafautiana nao kuwa ni 'washenzi wakati yeye anatembea nao.
Serikali inayoendesha shughuli zake kama genge la kiharifu, Intarahamwe n.k haiwezi kuheshimiwa na raia wake. Itaabudiwa na wasaka tonge tu kama ninyi.
 
Back
Top Bottom