Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Ile ndoto imeisha?Shocking news, Marine Hassan Marine, nimefanya nae kazi TVZ kisha TBC, ni mmoja wa watangazaji mahiri kabisa.
RIP Marine Hassan Marine
P
Ile ndoto imeisha?Shocking news, Marine Hassan Marine, nimefanya nae kazi TVZ kisha TBC, ni mmoja wa watangazaji mahiri kabisa.
RIP Marine Hassan Marine
P
Hakuwa Mzee nadhani ana Takribani miaka 42.Alikuwa anajua sana huyu mzee
Rip Marin
Kwani Pasco ni ndugu wa karibu sana na Marine?Pole sana Paschal
dah umefurahi nlivyotolewa povuuu😕😕😕😕🤣🤣🤣nimecheka sana ..! Umepandwa na jazba ghaflaaaa🤣🤣🤣🤣
dah umefurahi nlivyotolewa povuuu😕😕😕😕
Kuoa na kuacha mtoto ni vitu viwili tofauti! Unaweza usioe lakini ukawa na watoto.Yes...nimeumia pia...ukifa hujaacha mtoi unasahaulika mapema sana
Huwezi kuamini, hata sijaelewa ulichoandikaCcm mmeshafika kuomboleza😉😉😉! Polenk
Wamefanya kazi pamoja, hivyo ni mtu wake wa karibuKwani Pasco ni ndugu wa karibu sana na Marine?
Pole kwa familia, pole kwa TBC
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nasema poleni!Huwezi kuamini, hata sijaelewa ulichoandika
Nasema poleni!
Unanipa pole mimi kama nani? Nina ukaribu upi na Marine? Hebu niache kwanza.