TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

nashindwa kukubali moja kwa moja na hasa kwa tarehe yenyewe hii
 
Ww ni zaidi ya Kamanda..
Mbele yetu, nyuma yako... Tangulia rafiki
Rest In Peace
 
Nilimpiga pale Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za Slaa mwaka 2010 hadi akalia kama mtoto pale alipokata matangazo ya TBC baada ya Marando kumlipua Kikwete na EPA. Jamaa alikuwa laini laini sana.
Mkuu, kumbe unapaswa kumuomba msamaha marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom