The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Pole sana wafiwaMkuu hilo swala labda Mod wenyewe wangalie namna ya kufanya kama wataona kuna umuhimu wa kufanya hivyo.
Au Member wenyewe mnaweza kuona namna nzuri ya kufanya hilo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe tu!Pole sana dada Heaven Sent. Kumbe wana jf baadhi wanajuana mimi nilidhani kila mmoja anajificha kama jini.
Acha tu nimewaza km wewe ujue!!!Nimesikitika sana mtani,HS anavyosimulia jinsi baba yake anavyompenda...
Apumzike pema baba yetu. Imenigusa sana.