TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Heaven Sent ni binti aliyekomaa sana kiimani na amenifundisha vitu vingi na kujibu maswali yangu mengi kuhusu imani na jinsi ya kumtegemea Mungu katika kila kitu. Naamini hata katika hili imani yake itamwongoza na kumuimarisha.

Heaven Sent - Mungu Akutie nguvu na kukuimarisha zaidi kiimani katika kipindi hiki kigumu. Baba ameimaliza safari yake na ameitwa. Tumwombee apumzike kwa amani mpaka siku ile njema parapanda itakapolia katika utukufu ule usio na mithili. Jipe moyo binti na jambo jema likawepo katika huzuni hii ya kuondokewa na baba. God is still in control! Amen!
 
Pole sana dada Heaven sent!
You are not alone. Mimi pia ni mhanga wa hali hiyo kwani mama yangu alifariki nikiwa na miaka 10. Baba kafariki miaka 7 iliyopita.
Mungu akupe nguvu ya kustahimili kipindi hiki kigumu!
 
Pole Sana mkuu, Mungu akawe faraja kwenu ktk wakati huu mgumu kwenu. May his soul rest in eternal peace.
 

pole sana..Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
 

Pole sana Ndugu yangu Heaven sent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…