TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Tumekuelewa usemayo ni kweli kabisa
 
Napata ukakasi wa kuiamini hii taarifa Cuz muhusika bado hajaja kutoa tamko
BTW
Pole sana Heaven Sent
Mshukuru Mungu kwani yeye ndie anayepanga kilakitu.
Mkuu mimi sio mwendawazimu mpka nije kusema jambo kubwa kama hili bila kuwa na uhakika.

Offcourse nimeongea na Heaven leo asubuhi baada ya Mzee wake kupata huo mshituko baadae mchana ananitaarifu tayari mzee kishakata roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…