TANZIA Tanzia: Mzee Ali Hassan Mwinyi afiwa na mwanaye anayeitwa Hassan Ali Hassan Mwinyi

TANZIA Tanzia: Mzee Ali Hassan Mwinyi afiwa na mwanaye anayeitwa Hassan Ali Hassan Mwinyi

Maumivu ya KICHWA huanza taratiiibu, Poleni wafiwa.

Sie huku tumefiwa, Hospitali wamekatalia mwili Hadi tulipe pesa ya mwisho.

Poleni sana

Kama ni DSM fika ofisi ya Mkuu wa Mkoa, kusaidiwa.
 
Mpeni pole.

Ina maana ni mtoto wa Mzee Mwinyi?

Mpeni pole Mheshimiwa pia.
Kuna makabila mengine hili ni jina apewalo mjukuuu

anyway sijui ilikuwaje kaka akapewa jina lifananalo na la baba ama is a brother from another mother
 
Maumivu ya KICHWA huanza taratiiibu, Poleni wafiwa.

Sie huku tumefiwa, Hospitali wamekatalia mwili Hadi tulipe pesa ya mwisho.
Kauli za mawaziri hazizingatiwi ama hawajatoa waraka kwa hospital zaidi ya majukwaani?
 
Kauli za mawaziri hazizingatiwi ama hawajatoa waraka kwa hospital zaidi ya majukwaani?
Hawana habari, Jirani yetu alifariki getini alipozuiwa kuingia Hospitali kujifungua sababu hakuwa na pesa ya kufungua file.

Ndugu walipotaka kwenda ktk vyombo vya habari kudai HAKI walipozwa wakaambiwa watatunza Bure mwili wa marehemu na watatoa gari kupeleka mwili kuzika.
 
Kuna makabila mengine hili ni jina apewalo mjukuuu

anyway sijui ilikuwaje kaka akapewa jina lifananalo na la baba ama is a brother from another mother
Huyu mleta mada amekosea, ni Hassan Ali Hassan Mwinyi
 
atangulie mbele ya haki,kuna masikini pia wanakufa kwa kukosa vidonge tu vya kumeza tena ndani ya hospitali za serikali kisa hana rushwa ya kumpa nesi amshughulikie.
 
Innalillahi wainna illah rajiuun hakika kifo ni ukumbusho na mawaidha
 
Back
Top Bottom