TANZIA Tanzia: Mzee Ali Hassan Mwinyi afiwa na mwanaye anayeitwa Hassan Ali Hassan Mwinyi

TANZIA Tanzia: Mzee Ali Hassan Mwinyi afiwa na mwanaye anayeitwa Hassan Ali Hassan Mwinyi

Kuna makabila mengine hili ni jina apewalo mjukuuu

anyway sijui ilikuwaje kaka akapewa jina lifananalo na la baba ama is a brother from another mother
Kwani marehemu anaitwa nani na baba yake anaitwa nani?
 
Weeee! Kwahiyo broo na sista wanaongoza nchi?
Ndiyo maanake! Bado nchi ngumu hii ona! Ritzone mtoto wa maza alitoka na mshua wa msoga! Mshua kiwembe si mchezo mwangalie Ritz utaamini. Hivi Rais zenji mtoto wa Ali hassam Mwinyi.

Rais Bara binti ya Ali hassan Mwinyi. Waziri wa ardhi kijana wa Mama na mzee wa Msoga. Mama amemuharibia Salma big time! Umemsikia Salma. Mshua anakata mawingu na maza si mchezo
 
Kama itatokea nikaslimu basi itakuwa ni kwa sababu hii, ile ya kuoa wake mpaka wanne na wale mabikra peponi. Nashawishika sana yaani [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nani alikuambia mwisho wa kuwaka tamaa ni wake wanne.
 
Mzee Mwinyi alipokuwa Zanzibar, Mama yake Samia alikuwa secretary wake! Kabla Samia hajazaliwa so tumia akili mtu wangu! Ni dondoo zinazoelekea ukweli huku kitaa.
Wakati huo wewe ulikuwa Nani? kuwadi ? ama kujitia ujuaji tu kwenye familia za watu....
 
Damu ni nzito kuliko maji, kaka mtu huyo! Hii kitu niliijuwa kwa kuchelewa nikajiuliza nilikwama wapi? Inasemekana tutoto twa mcheps tuna bahati na akili pia. Hapa nawaza nimtegeshee nani huwezi juwa huko mbele.
Polen wafiwa
 
RIP. Alikuwa na cheo gani serikalini? Alikuwa na umri gani? Alifariki kwa maradhi gani?
 
Pole kwa mzee wetu Alh. Mwinyi lakini pia kwa Rais wa zanzibar Dr. Hussein Mwinyi kwa Msiba.
Mungu awape ustahamilivu katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom