naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Mwambie, maana hili ndio tatizo la kuokota vineno vya mitaaniHawana uhusiano zaidi yq mfanano wa jina la ubini
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie, maana hili ndio tatizo la kuokota vineno vya mitaaniHawana uhusiano zaidi yq mfanano wa jina la ubini
[emoji3][emoji3][emoji3] mtasutwaInajulikana pasi na shaka kuwa SSH ni binti ya Ruksa!
Nitegeshee mm mkuu[emoji12][emoji39]Damu ni nzito kuliko maji, kaka mtu huyo! Hii kitu niliijuwa kwa kuchelewa nikajiuliza nilikwama wapi? Inasemekana tutoto twa mcheps tuna bahati na akili pia. Hapa nawaza nimtegeshee nani huwezi juwa huko mbele.
Polen wafiwa
Muone waziri Ummy huu ujinga unazuiwa kila siku hawasikiiMaumivu ya KICHWA huanza taratiiibu, Poleni wafiwa.
Sie huku tumefiwa, Hospitali wamekatalia mwili Hadi tulipe pesa ya mwisho.
Acha uchocheziDada yao SSH naye Kafiwa mjue!
Hili.ni jina la babu sio la baba, mzee anaitwa Ally Hassan Mwinyi, yeye anaitwa Hassan Ally Hassan MwinyiKuna makabila mengine hili ni jina apewalo mjukuuu
anyway sijui ilikuwaje kaka akapewa jina lifananalo na la baba ama is a brother from another mother
Poleni sana.Maumivu ya KICHWA huanza taratiiibu, Poleni wafiwa.
Sie huku tumefiwa, Hospitali wamekatalia mwili Hadi tulipe pesa ya mwisho.
Kwa sababu mtu akiwa secretary lazima azae na boss wake au sijakuelewa? Uvumi wa hovyo Sana huo.Mzee Mwinyi alipokuwa Zanzibar, Mama yake Samia alikuwa secretary wake! Kabla Samia hajazaliwa so tumia akili mtu wangu! Ni dondoo zinazoelekea ukweli huku kitaa.
Islam kusafirisha.maiti tunaiga upande wa piliAu huyu marehemu Ni mtoto wa mam mwingine mke wa Kwanza nn ndio azikwe Zanzibar
Ni Jana tu kak ake alikuwa anafoka ktk television mnk nae haipiti siku ajaongea na kufnya mikutano yaani kila siku yupo ktk coverage ya vichwavya hbr za magazeti
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
R.I.P - Kwahiyo ni kaka yake Mama au?Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amefiwa na Kaka yake Hassan Ali Hassan Mwinyi Leo Mazishi yatafanyika leo Alasiri Mangapwani Zanzibar ambapo watu pamoja na Mwili wa Marehemu wataondoka nyumbani Chukwani Saa Saba na Nusu
Inalillahi waina ilaihi rajiuna
---
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Hassan Ali Hassan Mwinyi, mtoto wa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi na kaka wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi. Nawapa pole wanafamilia kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu amrehemu Hassan na amjaalie Pepo. Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuun.
mavi matupu! hii ndiyo slogan mliyotumia kutupa miili ya watu mliyoua baharini. Huoni shida Nchi kuongozwa na familia moja? Uwajibikaji hauna maana kwako!Acha uchochezi
Kweli lakini! Mzee alikuwa kiwembe wakati wake!! Kwa wale wahenga wenzangu na mliopata kuwa Kairo wakati mzee akiwa balozi kule alikuwa anatupa pochi tumletee wanafunzi mabinti wa vyuo tulikokuwa tunasomea! Mzee alikuwa si mchezo!Kwa sababu mtu akiwa secretary lazima azae na boss wake au sijakuelewa? Uvumi wa hovyo Sana huo.
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Ngoja nifanye mchakato nikuunganishe na shakhe[emoji23]Yaani navutiwa sana mjukuu. Kwani taratibu za kusilimu zikoje? [emoji16][emoji16]
Huku vijijini kumfikia mkuu wa wilaya tu ni shughuli, sasa waziri je!!!Muone waziri Ummy huu ujinga unazuiwa kila siku hawasikii
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Humu jf hapana bora huku mtaani mtu unamuona moyo unasema yes basiiiiNitegeshee mm mkuu[emoji12][emoji39]
Amelazwa tu mkuu hajavuta mzee wetu