Jayden News
Member
- Aug 28, 2022
- 29
- 94
Mtoto wa Rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi amefiwa na mwanaye aitwaye Hassan.
Kufuatia kifo hicho Rais Samia aliandika kupitia twitter “nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Hassan Ali Hassan Mwinyi, mtoto wa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi na kaka wa Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi".
"Nawapa pole wanafamilia kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu amrehemu Hassan na amjaalie pepo. Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuun.”