TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Mungu ni mwema ulitoka salama
 
Kila kitu huwa kinasabab MV NYERERE ILIZAMA KWA SABAB ILIBEBA MIZINGO TOFAUTI UWEZO WAKE , kwa akili timam ninawezaji kujitosa pale feri?? Lazima kunasabab behind the scine

Kwahiyo kumbe inawezekana mtu kuzama mchana....sababu ya kuzama ni kuwa umeshindwa kuogelea
 
Kuna rafiki yangu alikua nae mchana Mbudya. Anasema alikua amelewa sana. Inawezekana wakati anaogelea pombe ilizidi
 
Namkumbuka kwenye Video ya mdananda ya sheeta pale mwanzon kabisa kauza sula.
 
Hatari mkuu, mtu umekulia dodoma hakuna hata ziwa, unaogelea kwenye madimbwi leo univukishe maji nayaona hivi, hapana kwa kweli. Ila yote yote siku ikifika imefika ila tahadhari ni mihimu pia.
Hahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…