TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

mwaka 2014 mwezi 12 nilinusurika kufa maji msasani beach baada ya maji kurudi nilikuwa mbali kidogo na ukingo wa bahari.nilitumia maarifa na nguvu zangu zote kujiokoa nilikuwa nimevaa vest na boxer cha ajabu ile vest na boxer niliiziona nzito na sijui nilizivua vipi na kubaki uchi nilipiga miguu mpaka msuli wa mguu moja wa kushoto ukanishika niliishiwa nguvu nikiwa naelekea chini huku nimisha kubali kifo bahati nzuri ile nimegota chini nayasikia maji utosini nikaenda mbele kidogo ndipo yakanifikia machoni.
tokea mwaka 2014 sijawahi kurudi baharini tena wala kusogelea maji yoyote kwa ajili ya kuogelea-bahari sasa naiona kama kituo cha polisi.
Mungu ni mwema ulitoka salama
 
Kila kitu huwa kinasabab MV NYERERE ILIZAMA KWA SABAB ILIBEBA MIZINGO TOFAUTI UWEZO WAKE , kwa akili timam ninawezaji kujitosa pale feri?? Lazima kunasabab behind the scine

Kwahiyo kumbe inawezekana mtu kuzama mchana....sababu ya kuzama ni kuwa umeshindwa kuogelea
 
Unachosema ni kweli lakini pia inatupasa tuchukue tahadhali tusilewe kabla ya kuogelea maana kuna mshikaji na yy alikufa maji sababu alikuwa amelewa then akaogelea..

Sina maana kwamba marehemu alikuwa amelewa. Msininukuu vibaya.

POLE KWA WAFIWA MUNGU AWAPE FARAJA KIPINDI HIKI CHA MAJONZI
Kuna rafiki yangu alikua nae mchana Mbudya. Anasema alikua amelewa sana. Inawezekana wakati anaogelea pombe ilizidi
 
Namkumbuka kwenye Video ya mdananda ya sheeta pale mwanzon kabisa kauza sula.
 
Hatari mkuu, mtu umekulia dodoma hakuna hata ziwa, unaogelea kwenye madimbwi leo univukishe maji nayaona hivi, hapana kwa kweli. Ila yote yote siku ikifika imefika ila tahadhari ni mihimu pia.
Hahahahaaa
 
Back
Top Bottom