Badawisaidi
Member
- Aug 9, 2017
- 49
- 54
HahahaKabisaa yaani Mimi ni muogaaa...hata wewe...ntakumbatia balaaa
Alisomea nini?Asante Sana mzeebaba... Wakati naenda dar kutafuta producer wa kuni training ..nilienda b hits.. japo walinizingua sana kumpata.. lakini yeye Alini training vya kutosha.. tena sikumlipa kitu!.. ndipo nikarudi dom.. dah Rip.. Bro
Kwani mkuu tumeelewana??Alisomea nini?
Hata na mabesteDah pancho latino R.I.P ninja
.
Hawa jamaa sijui wapo kwenye hali gani
1. Shetta
2.hammy B-mmiliki wa studio
3.Ambwene yesaya
4. Mwana FA
5.nimekasahu Jina kadogo kamoja hivi kame graduate tumaini
Pancho pancho pancho mungu akufanyie wepesi aisse
Kweli kabisa....Nimesema hapo juu kuwa hata km unajua kuogelea km unaye muokoa ana mapepe mnakufa wote
sureHermy B alikua anamkubali sana Pancho
Ivi Pancho ndio Hamy B au
Mwaka jana rafiki yangu naye alipoteza Maisha hukohuko Mbudya. Naye alizama. Nadhani Serikali inapaswa kukiangalia tena hicho kisiwa kwa Undani.Huku Mbudya kubaya sana kwa kweli.View attachment 892138
Hii niliwahi kuisikia wakati fulani hivi. Na jana nikawa napitapita kwenye mitandao nikaisoma mahali. Hivi ilikuwaje Mkuu?Ben pol alishawahi kunusurika hukohuko mbudya. Rip pancho.
Ni kweli swimming kwenye bahai na pool ni experience mbili tofauti......ninachosema kunatofauti ya mtg anaejua zile basic principle za swimming na ambaye hajui kabisaMkuu unayajua Maji ya bahari na mawimbi yake? Yani kuogelea swimming pool au kwenye mto si sawa na kwenye bahari,labda uwe professional diver