TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Asante Sana mzeebaba... Wakati naenda dar kutafuta producer wa kuni training ..nilienda b hits.. japo walinizingua sana kumpata.. lakini yeye Alini training vya kutosha.. tena sikumlipa kitu!.. ndipo nikarudi dom.. dah Rip.. Bro
Alisomea nini?
 
Hilo eneo linasadikika kuwa na mazingira kama haya hapa kwenye picha.

Ikumbukwe ziwa, mito na bahari kuna maeneo yako hivi huwa yanatahadhalishwa watu wasivue au kuoga maeneo hayo!
149776DA-A6EA-4CEE-A83F-9AD9E7EE3DE7.jpeg
149776DA-A6EA-4CEE-A83F-9AD9E7EE3DE7.jpeg
DF8591B2-34AC-4FF5-9391-E97559C3227E.jpeg
 
Wanachunguza maji ama? waliokuwa wanaogelea wote. Kufa ni kufa tu, unaweza kufia mahala popote
 
Rip Mafia....
Boti za kwenda mbudya wapandia wap na inacost pesa ngapi
 
Mkuu unayajua Maji ya bahari na mawimbi yake? Yani kuogelea swimming pool au kwenye mto si sawa na kwenye bahari,labda uwe professional diver
Ni kweli swimming kwenye bahai na pool ni experience mbili tofauti......ninachosema kunatofauti ya mtg anaejua zile basic principle za swimming na ambaye hajui kabisa
 
Back
Top Bottom