Kwahiyo siku hizi watu wakiweka utaratibu wao kuwa hawataki mtu yoyote hata wa humo kwao kuzungumza mambo ambayo sio ya dini ni kosa?
Kwani wamemtaja mtu hapo?
Ni sawa na mtu kuweka utaratibu kwake mfano familia ya fulani wasije nyumbani kwake hapo kuna kosa gani?