wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Unaandika opposite na kinachoendelea, dunia inatoka from being unipolar inaenda kua multipolar.Maandalizi ya "one world currency" yanakwenda vizuri.
Ngoja kwanza wakubwa watambiane huko, wakishatulia ndo na sisi tutajua cha kufanya kwa Tsh yetutsh itanyanyuka lin ?
kumbe umegundua kifaa cha kujua matumizi ya akili, hongera.ndo yanazid kubomoka ,tumia akili vzr na sio ushabiki
Siyo rahisi kihivyo mkuu, USD inapendwa kutokana na factor nyingi sana tofauti na unavyowazaNachokiona very soon kila mwenye chake atadai kulipwa kwa hela yake. Waarabu na mafuta yao wanasikilizia tu
Anguko la dollar liko pale pale
Infact in europe, Slovakia and Hungary ni very supportive kwa russia na putin, ni nchi za mashariki mwa ulaya zenye uchumi mdogo ukilinganisha na west kama Germany, France and etc. ambao ni very wealth na ambazo zina influence kwenye EU.maelezo mengi hlf ukaitaja slovakia tu , hata nikuuliza mara ngap umewai litaja neno slovakia haizid mara 5 , sasa unaitumiaje iwe kama kielelezo cha ulaya wakati ni nchi iliyo na mshikamano na Urusi hata kabla ya vita hii ya uvamizi ndani ya ukraine , ebu jiheshimu haupo kijiwe na urojo aseee
Germany, France and etc. The biggest European major economic powerhouse.We jamaa acha uongo ni nchi gani Kati ya zile zilizo pigwa sanction na russia ambayo inaendelea kulipa kwa mfumo wa euro na dollali badala ya rubble?
Yaani aache wananchi wateseke amfurahishe US, mbona wengi watafuta.Huyo Rais sijui Waziri mkuu wa Nchi hii ajiandae kupinduliwa naa mabeberu
Mimi ni Mrusi,nazungumzia heshima kwetu ''Mother Russia".umiza akili vzr , baada ya huo mgogoro tutegemee vita vingi ndani ya afrika ili wafidie hasara zao
Kumbe US tulikuwa tuna mbeba kweli kweliNisuala la muda tuu ukiritimba wa DOLA ushachokwa
Russia akifanikiwa na ruble, nchi nyingi zitauza rasilimali zao kwa hela yao na ndicho hiko kitu hataki US. Hivi ushajiuliza mpaka sasa kwenye mgogoro huu nchi nyingi zipo neutral mpaka Waarabu, so nao wana sikilizia Russia akitoboa mwarabu nae na mafuta yake atataka kuuza kwa hela yake.Siyo rahisi kihivyo mkuu, USD inapendwa kutokana na factor nyingi sana tofauti na unavyowaza
1- Ni very stable currency.
2- Value yake inakuwa determined solely na market, tofauti na currency za nchi zingine kama china ambazo value ya yuan inakuwa manipulated na serikali yao.
3- Uchumi wa US ni very strong and innovative duniani and etc.
Infact in europe, Slovakia and Hungary ni very supportive kwa russia na putin, ni nchi za mashariki mwa ulaya zenye uchumi mdogo ukilinganisha na west kama Germany, France and etc. ambao ni very wealth na ambazo zina influence kwenye EU.
Umejaribu kufikiria gharama kwa mtumiaji wa mwisho?Germany, France and etc. The biggest European major economic powerhouse.
Ukienda shule kutembea Au kuwapa walimu shikamoo tu?Kaka habari ya Moscow? Ulisema supermarket shelves za urusi bidhaa ikiwemo chakula zimeisha. Vipi mpaka sasa wangapi wamekufa kwa njaa??
Mkuu waNa MbadalaNi suala la muda tu!
Kinachowagharimu mataifa hayo ya Ulaya ni ile taswira waliyojipa EU kimataifa ya kiukubwa; hawababaishwi, wana akili sana na siku zote ni washindi na ni watawala kwani hawapangiwi bali wao ndiyo wanaopanga na maamuzi makubwa ya mwisho kwenye hii dunia yanatoka kwao ukijumlisha na US.
Hii taswira ndiyo inayowaumiza na kuwafanya waone haya kurudi nyuma kwa maamuzi waliyoyafanya kwa Russia wataonekana wamepiga magoti. Wanajaribu kulinda hadhi yao na watafanyaje ndiyo taswira waliyojijengea kimataifa.
England, Greece, Spain, Germany n.k wananchi tayari wameshaanza maandamano gharama ya mafuta na gesi kuwa juu! Athari ya uhaba wa mafuta inafahamika ipoje na gesi pia kwa mataifa ya wenzetu kwa wanaojua umuhimu wa huko wanafahamu athari ya kupanda hii kitu ipoje! Na taarifa ya jana kutoka Ujerumani ni kuwa:-
''German food retailers announced they will raise prices by minimum 20 to maximum of 50 percent on Monday — German Retail Association"
Hivyo, ni suala la muda tu!
---------------------------------
Latvia anategemea gesi ya Russia 94%
Hungary 54%
Slovania 39%
Germany 47%
Lithuania 56%
Poland 50%
Ukraine hawa inafika kipindi wanaingia kwenye deni kabisa kwa kushindwa kulipia gesi.
Ni suala la muda tu!Mkuu waNa Mbadala
Ruble ni jina la fedha ya urusiSisi Tanzania hatuna hizo Rubles ?
Kwenye assessment yao wameweka pia other strategic costs ya kuendelea kutumia Russian gas over the long term including the costs on their national security interests, not just the short ones. The Europeans and US wanataka kuwa na stratergic autonomy from China and russia. The long term goal yao ni kuhakikisha wanaachana kabisa na fossil fuels na kwenda kwenye Clean energy ambayo ita-support their long term strategic national security interests. For the time being, US ameamua ku-release massive amount of oil from their stratergic reserves ambapo ni one million barrels per day for the next six months ili kuyapa makampuni makubwa ya mafuta US muda wa ku-adjust supply ya mafuta yao kwenye market, na kwa sasa Marekani ndiye mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, ingawa investment kwenye uzalishaji wa mafuta ilipungua pakubwa sana kutokana na CORONA pamoja na shifting priorities kwenda kwenye clean energy example hydrocarbonsUmejaribu kufikiria gharama kwa mtumiaji wa mwisho?