Taratibu nchi za ulaya zimeanza kukubaliana na utaratibu wa manunuzi ya gesi kwa mfumo wa rubble. Slovakia yawa ya kwanza kukubali

Taratibu nchi za ulaya zimeanza kukubaliana na utaratibu wa manunuzi ya gesi kwa mfumo wa rubble. Slovakia yawa ya kwanza kukubali

tsh itanyanyuka lin ?
Ngoja kwanza wakubwa watambiane huko, wakishatulia ndo na sisi tutajua cha kufanya kwa Tsh yetu

Nakumbuka Magu alitakaga kuiweka kwa gold, sijui aliishia wap
 
Nachokiona very soon kila mwenye chake atadai kulipwa kwa hela yake. Waarabu na mafuta yao wanasikilizia tu

Anguko la dollar liko pale pale
Siyo rahisi kihivyo mkuu, USD inapendwa kutokana na factor nyingi sana tofauti na unavyowaza
1- Ni very stable currency.
2- Value yake inakuwa determined solely na market, tofauti na currency za nchi zingine kama china ambazo value ya yuan inakuwa manipulated na serikali yao.
3- Uchumi wa US ni very strong and innovative duniani and etc.
 
maelezo mengi hlf ukaitaja slovakia tu , hata nikuuliza mara ngap umewai litaja neno slovakia haizid mara 5 , sasa unaitumiaje iwe kama kielelezo cha ulaya wakati ni nchi iliyo na mshikamano na Urusi hata kabla ya vita hii ya uvamizi ndani ya ukraine , ebu jiheshimu haupo kijiwe na urojo aseee
Infact in europe, Slovakia and Hungary ni very supportive kwa russia na putin, ni nchi za mashariki mwa ulaya zenye uchumi mdogo ukilinganisha na west kama Germany, France and etc. ambao ni very wealth na ambazo zina influence kwenye EU.
 
We jamaa acha uongo ni nchi gani Kati ya zile zilizo pigwa sanction na russia ambayo inaendelea kulipa kwa mfumo wa euro na dollali badala ya rubble?
Germany, France and etc. The biggest European major economic powerhouse.
 
Ni suala la muda tu!

Kinachowagharimu mataifa hayo ya Ulaya ni ile taswira waliyojipa EU kimataifa ya kiukubwa; hawababaishwi, wana akili sana na siku zote ni washindi na ni watawala kwani hawapangiwi bali wao ndiyo wanaopanga na maamuzi makubwa ya mwisho kwenye hii dunia yanatoka kwao ukijumlisha na US.

Hii taswira ndiyo inayowaumiza na kuwafanya waone haya kurudi nyuma kwa maamuzi waliyoyafanya kwa Russia wataonekana wamepiga magoti. Wanajaribu kulinda hadhi yao na watafanyaje ndiyo taswira waliyojijengea kimataifa.

England, Greece, Spain, Germany n.k wananchi tayari wameshaanza maandamano gharama ya mafuta na gesi kuwa juu! Athari ya uhaba wa mafuta inafahamika ipoje na gesi pia kwa mataifa ya wenzetu kwa wanaojua umuhimu wa huko wanafahamu athari ya kupanda hii kitu ipoje! Na taarifa ya jana kutoka Ujerumani ni kuwa:-

''German food retailers announced they will raise prices by minimum 20 to maximum of 50 percent on Monday — German Retail Association"

Hivyo, ni suala la muda tu!
---------------------------------
Latvia anategemea gesi ya Russia 94%
Hungary 54%
Slovania 39%
Germany 47%
Lithuania 56%
Poland 50%
Ukraine hawa inafika kipindi wanaingia kwenye deni kabisa kwa kushindwa kulipia gesi.
 
Hivi si muuzaji ndio anaamua ?

Sasa wewe mnunuzi unanipangia jinsi ya kukuuzia ?, Something is not Right (actually many things are wrong) kwenye hii dunia ya Unafiki
 
Siyo rahisi kihivyo mkuu, USD inapendwa kutokana na factor nyingi sana tofauti na unavyowaza
1- Ni very stable currency.
2- Value yake inakuwa determined solely na market, tofauti na currency za nchi zingine kama china ambazo value ya yuan inakuwa manipulated na serikali yao.
3- Uchumi wa US ni very strong and innovative duniani and etc.
Russia akifanikiwa na ruble, nchi nyingi zitauza rasilimali zao kwa hela yao na ndicho hiko kitu hataki US. Hivi ushajiuliza mpaka sasa kwenye mgogoro huu nchi nyingi zipo neutral mpaka Waarabu, so nao wana sikilizia Russia akitoboa mwarabu nae na mafuta yake atataka kuuza kwa hela yake.
 
Infact in europe, Slovakia and Hungary ni very supportive kwa russia na putin, ni nchi za mashariki mwa ulaya zenye uchumi mdogo ukilinganisha na west kama Germany, France and etc. ambao ni very wealth na ambazo zina influence kwenye EU.
Screenshot_20220310-122416.png

Sijafahamu ya 2016-2021 ipoje!

Kwa namna moja ama nyengine itakuwa imepanda, mfano halisi angalia kwa Slovakia.

Hizo asilimia kutafuta mbadala ni pigo kubwa si kitu rahisi. Kutoka Ujerumani ni kwamba:

Ukraine conflict makes Germany ‘poorer’ – finance minister

Germans are already paying a price for Russia’s military campaign in Ukraine, the country’s finance minister has acknowledged.

Speaking to Bild tabloid newspaper, Christian Lindner said that “the Ukraine war is making us all poorer, for example, because we have to pay more for imported energy.”

In an interview published on Sunday, the German minister went on to admit that the government “cannot offset this loss in prosperity,” adding on a more positive note, however, that the authorities were working to “cushion the biggest shocks.”
 
Gas ya Russia Ni cheap (ukilinganisha na LNG ya US and Qatar). Pia, imekuwa connected na pipes (hapa inaongea reliability).

Rational buyers lazima wanunue tu gas ya Russia.
 
Ni suala la muda tu!

Kinachowagharimu mataifa hayo ya Ulaya ni ile taswira waliyojipa EU kimataifa ya kiukubwa; hawababaishwi, wana akili sana na siku zote ni washindi na ni watawala kwani hawapangiwi bali wao ndiyo wanaopanga na maamuzi makubwa ya mwisho kwenye hii dunia yanatoka kwao ukijumlisha na US.

Hii taswira ndiyo inayowaumiza na kuwafanya waone haya kurudi nyuma kwa maamuzi waliyoyafanya kwa Russia wataonekana wamepiga magoti. Wanajaribu kulinda hadhi yao na watafanyaje ndiyo taswira waliyojijengea kimataifa.

England, Greece, Spain, Germany n.k wananchi tayari wameshaanza maandamano gharama ya mafuta na gesi kuwa juu! Athari ya uhaba wa mafuta inafahamika ipoje na gesi pia kwa mataifa ya wenzetu kwa wanaojua umuhimu wa huko wanafahamu athari ya kupanda hii kitu ipoje! Na taarifa ya jana kutoka Ujerumani ni kuwa:-

''German food retailers announced they will raise prices by minimum 20 to maximum of 50 percent on Monday — German Retail Association"

Hivyo, ni suala la muda tu!
---------------------------------
Latvia anategemea gesi ya Russia 94%
Hungary 54%
Slovania 39%
Germany 47%
Lithuania 56%
Poland 50%
Ukraine hawa inafika kipindi wanaingia kwenye deni kabisa kwa kushindwa kulipia gesi.
Mkuu waNa Mbadala
 
Umejaribu kufikiria gharama kwa mtumiaji wa mwisho?
Kwenye assessment yao wameweka pia other strategic costs ya kuendelea kutumia Russian gas over the long term including the costs on their national security interests, not just the short ones. The Europeans and US wanataka kuwa na stratergic autonomy from China and russia. The long term goal yao ni kuhakikisha wanaachana kabisa na fossil fuels na kwenda kwenye Clean energy ambayo ita-support their long term strategic national security interests. For the time being, US ameamua ku-release massive amount of oil from their stratergic reserves ambapo ni one million barrels per day for the next six months ili kuyapa makampuni makubwa ya mafuta US muda wa ku-adjust supply ya mafuta yao kwenye market, na kwa sasa Marekani ndiye mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, ingawa investment kwenye uzalishaji wa mafuta ilipungua pakubwa sana kutokana na CORONA pamoja na shifting priorities kwenda kwenye clean energy example hydrocarbons
 
Back
Top Bottom