Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

wadau
Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya vigezo vinavyo tumika ili mtu wa kawaida aweze kumiliki silaha[bunduki] kwa raia wa Tanzania

Kwa sasa ni hela kwani hela ni kila kitu kwa hii serikali yetu & nuthing more
 
kujilinda tu mkuu
wewe unafaa kupata bunduki. when i asked you this question, nilitegemea ungenijibu vibaya, na hapohapo ungekosa vigezo kwani ungekuwa mtu short tempered ambaye anaweza kutumia bunduki vibaya....umejibu vizuri. lilikuwa swali la mtego tu lile.
 
kama una migogoro kila wakati na wife yako...hapana taka nunua bunduki mkuu
 
na jinsi ya kupata vifaa ya kung'olea meno utaratibu wake unakuwaje anayejua data plllz
 
vp kama nikinunua nje ya nchi?

 
vp kama nikinunua nje ya nchi?

i guess ukinunua nje ya nchi taratibu zitakuwa hivi hivi bt u have to surrender hiyo silaha at the port of Entry au kwa near by Police Station. They will give u a form kujaza na baada ya hapo unalipa storage fees. Zamani ilikuwa Sh 500 per Year, sijui siku hizi ni bei gani. Ukishapata kibali then unarudi pale kituoni wanakukabidhi silaha yako.
 
ok Kamanda Moshi..maelezo yana jitosheleza,ila nahisi wewe ni mtu wa usalama maana unajua mambo na unaeleza maelezo amabayo hayahitaji maelezo ya ziada
 
kama ni ruksa kununua nje ya Tanzania basi itakuwa nzuri sana,sema nadhani ni lazima kwanza uwe na kibari cha kumiliki huo mtambo kwa Tanzania, maana kwa USA si zinapatikana tu kama dagaa sokoni? na hakuna vigezo vikali ktk umilikaji wake,sema utakavyo ileta bongo ndio tatizo litaanzia hapo,maana sina hakika kama vigezo vya kumiliki machine USA vinafanana na hapa Tanzania
 
Wakuu,nina nia ya kumiliki bastola kwa matumizi yangu binafsi,naomba anayefahamu bei zake,bastola original yenye uwezo mzuri,na pia taratibu za kufanya ili nimiliki kihalali.....regards
 
Mkuu si ulileta uzi kama huu na watu wakakujibu inakuwaje tena? Umeshafika Tanganyika Arms na kumuona RPC wako?
 
Kwanini ununue original? nunua za kichina tu bei poa kwani bunduki huwa haiana faki inaua tu oi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…