engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
hahaha,hii kali,inawezekana,maana mhhhhhangalizo usiwe na hasira,utaua hata inzi lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha,hii kali,inawezekana,maana mhhhhhangalizo usiwe na hasira,utaua hata inzi lol
wadau
Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya vigezo vinavyo tumika ili mtu wa kawaida aweze kumiliki silaha[bunduki] kwa raia wa Tanzania
Sifa ya kwanza usiwe unatamani kutembelea kwenye mbuga zenye Tembo wetu.
wewe unafaa kupata bunduki. when i asked you this question, nilitegemea ungenijibu vibaya, na hapohapo ungekosa vigezo kwani ungekuwa mtu short tempered ambaye anaweza kutumia bunduki vibaya....umejibu vizuri. lilikuwa swali la mtego tu lile.kujilinda tu mkuu
Kumekucha!
Unataka ya KUULIA TEMBO au ya KUTISHIA WATU KWENYE KAMPENI IGUNGA.
Kigezo cha jumla uwe Msomali
Acha uongo. Sio Lazima.
Taratibu ziko hivi, Unaenda kwanza kwenye Maduka ya Silaha, Mzinga au Tanganyika Riffle, (haya yapo kikanda i guess, Mzinga wanalo Dar, Moro, Moshi na Arusha, Tanganyika Riffle iko pale Clock Tower Arusha na pia Dar wana Duka i guess) unanunua silaha yako unayoitaka, either Pistol, Bunduki za uwindaji au Bunduki za kulindia mashamba (with Lower Caliber i mean) then ukishanunua, unaenda kwenye serikali ya mtaa unaoishi, kamti ya ulinzi ya mtaa wako itakuandikia barua ambayo utaenda nayo kwa OCD wa kituo cha polisi cha wilaya yako, ukiambatanisha na barua yako ya maombi ya kumiliki silaha tajwa na sababu za kutaka kumiliki ukiziweka wazi. Pale utapewa Form 4, utazijaza utaambatanisha na Picha 4 (passport size) then na ile barua ya kamati ya ulinzi ya mtaa na kopi ya risiti ya kununulia silaha yako.
ukimaliza utawasilisha kwa OCD na wao watayapitia maombi yako kwenye kikao cha kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya, kisha yakiita yatapelekwa kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa then yakipita yataletwa DSM kwa msajili wa silaha, ambaye atakupatia leseni/kibali cha kumiliki silaha yako.
ukishapata kibali unaenda na original receipt yako kwenye lile duka ulilonunulia silaha yako nao wanakupatia unarudi zako home.hope umenielewa japo nimeelezea kwa kifupi, kama una swali unakaribishwa pia.
Wana bahati walimpa kabla hajakengeuka. Angekuwa ameshamaliza wote.Kwahiyo kinana walikosea kumpatia?
vp kama nikinunua nje ya nchi?
i guess ukinunua nje ya nchi taratibu zitakuwa hivi hivi bt u have to surrender hiyo silaha at the port of Entry au kwa near by Police Station. They will give u a form kujaza na baada ya hapo unalipa storage fees. Zamani ilikuwa Sh 500 per Year, sijui siku hizi ni bei gani. Ukishapata kibali then unarudi pale kituoni wanakukabidhi silaha yako.
kama ni ruksa kununua nje ya Tanzania basi itakuwa nzuri sana,sema nadhani ni lazima kwanza uwe na kibari cha kumiliki huo mtambo kwa Tanzania, maana kwa USA si zinapatikana tu kama dagaa sokoni? na hakuna vigezo vikali ktk umilikaji wake,sema utakavyo ileta bongo ndio tatizo litaanzia hapo,maana sina hakika kama vigezo vya kumiliki machine USA vinafanana na hapa Tanzaniai guess ukinunua nje ya nchi taratibu zitakuwa hivi hivi bt u have to surrender hiyo silaha at the port of Entry au kwa near by Police Station. They will give u a form kujaza na baada ya hapo unalipa storage fees. Zamani ilikuwa Sh 500 per Year, sijui siku hizi ni bei gani. Ukishapata kibali then unarudi pale kituoni wanakukabidhi silaha yako.
Mkuu si ulileta uzi kama huu na watu wakakujibu inakuwaje tena? Umeshafika Tanganyika Arms na kumuona RPC wako?
Sichezi tena na wewe.............:A S-fire1::A S-fire1:
Sichezi tena na wewe.............:A S-fire1::A S-fire1: