Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Salaams humu, jamani naombeni kama kuna mtu ana soft copy ya sheria hii anisaidie, kuna vitu vya msingi nataka nivifahamu, natanguliza shukran!
 
Kanunue Ulinzi huo. Pia funga mfumo wa CCTV NA PIA ALARM YA KK SECURITY NI BORA. Mimi kwangu kamera zipo kila kona na ni za simu za mchina nimenyofoa nika unga kwenye computer naweza ona na kusikia kila kitu kwangu kuna taa za ulinzi ukisogea zinawaka na pia zipo umbwa 2 noma xna. Kwa ulinzi wa hom upo poa ila nikiwa mtaani sina Ulinzi ndo maana napenda kuwa na bastola .

Kuna jamaa wanatengeneza magobore ila hayo ni kama unamjua mtu wako unakodisha unapewa risasi tatu unaenda unaweza mfanya mbaya viungo au ukaua.
 

Haah hiii safi haina malipo ya mwezi wala gharama za season check up.
 
wengine wiki tu
 

PENDA SANA CLARIFICATION YAKO KTK TOPIC HUSIKA. imelenga mlemle kwenye topic husika na nime-gain kitu ktk yote. #ahsante .
 
Urefu wa processes ni ili kila mtu aweze kushikishwa ipasvyo

Hiyo ni silaha, kumbuka ina madhara makubwa sana inapotumika vibaya na inapokuwa mikononi mwa mtu asiyejali ustawi wa mtu mwingine. Lengo la process hiyo unayoona kuwa ndefu, ni kwa mamlaka husika kujiridhisha na huyo muombaji kama kweli anastahili kupata kibali cha kumiliki silaha na si vinginevyo.
 
Hapo hapo ndiyo napahitaji, mimi nauliza utaratibu wa kumili siraha kubwa kama shotgun, na ni siraha zipi za daraja hilo ambazo raiya anaruhusiwa kumiliki, nina mpango wa kuhamia shambani, porini hasa kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji, nahitaji kwa ajili ya ulinzi. Natanguliza shukrani
 

Siyo rahisi hivyo, process zinaanzia chini kabisa ngazi ya kata wao ndiyo wanaanza kukurecomend! Huko wizara nani anakufahamu?
 
Nimeipenda nadhani inanifaa inauzwa sh ngapi na huko mzinga inapatikana
 
wakuu samahani kuingilia thread,taratibu za umiliki wa bunduki [shotgun,makeifour n.k]zikoje kwa kampuni ya ulinzi.kwa anayefahamu tafadhali
 

Wabongo bwana! mbwembwe kibao!
Hapo kwenye red.
 
Mkuu ukiamua kufuata process itaku buy time sana

sunajua nchi yetu ya kitu kidogo

we tafuta kwa mtu anaemilik kihalal akuuzie then mtaenda wote kuapa mahakaman hiyo n very simple

ila ukitaka kufuata process,you wait for 3years
 
Mkuu zinapatikana wapi hizo mishale ya kisasa na ubora wake ukoje kwenye matumizi,kwenye kubadili mishale nk
 

Mkuu ninavyofahamu mimi process inaanzia kwenye serikali ya mtaa. Baada ya hapo ndo unaenda kwa katibu kata.

Tiba
 
Reactions: Mbu
nnahisi hali ya hatar umepata tetesi mkeo anatoka nini mpige kwa kipande cha kanga bastola kupata inachukua muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…