Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-Uwe na akili timamu!
-Umri wako usiwe chini ya miaka 18!
-Uwe na sababu shawishi za 'kwanini unahitaji kuwa nayo'
-Hujawahi kupatikana na jinai yoyote!
Ukiona urasimu bongo mkubwa kama ilivyo jadi,sema nikupe bastola ya kijadi.Haina usajili,leseni haina wala hakuna atakayejua kama unayo.Bastola hiyo ni kwa ajili ya kuzuia wezi tu si kuua wala kwenda kuibia.
Ni kimti fulani unaweka home kwako basi,wezi wakija nyumba hawaioni basi,kama una mshiko mkubwa,basi unanusa kijiti chako,vibaka/wezi hawakuoni.Hizo za kisasa balaa.
wengine wiki tuMaduka ya kununua bastola dar yapo kama 2 ninayoyafahamu moja lipo pale mitaa ya stesheni, nyuma ya jengo la TRA, linaitwa Tanganyika Arms. Hili ni private(meaning price pia ni kubwa). Pia unaweza kwenda kununua pale Makao Makuu ya Jeshi Upanga kuna duka la Mzinga(bei fresh sana pale ila nyingi ni za kutoka nchi za kisoviet). Vile vile unaweza kuagiza ulaya kama unataka quality like Colt 45 na ikifika unaiclear halafu inahifadhiwa pale Tanganyika Arms mpaka upate kibali(Ila kuwa makini sana hapo maana inabidi jamaa wakutumie serial number ya bastola, wakiiuza na kuleta ingine kazi utakuwa nayo kwenye kuprocess kibali)
Kupata kibali cha kumiliki ndo kimbembe maana procudure inaanzia kwa mtendaji wa kata ambaye anaitisha kikao cha usalama na wanaclear. Ukitoka hapo unaenda polisi wilayani, for clearance, then wilayani, baada ya hapo ni kwa mkuu wa mkoa ambapo unakuwa endorsed na kikao cha usalama cha mkoa. Kwa Dar nasikia kinafanyika mara chache sana. Ukimaliza hapo ndo unaenda Polisi Mkoa then Makao Makuu ya Polisi(Registry, na figure prints department) na finaly kibali kinatoka kwa DCI.KIbali kikitoka unaenda kuchukua "Ngoma yako".
Kuna watu imewachukua zaidi ya mwaka kwa hii process, lakini wengine inachukua miezi 2, depending on your connection.
Goodluck
Maduka ya kununua bastola dar yapo kama 2 ninayoyafahamu moja lipo pale mitaa ya stesheni, nyuma ya jengo la TRA, linaitwa Tanganyika Arms. Hili ni private(meaning price pia ni kubwa). Pia unaweza kwenda kununua pale Makao Makuu ya Jeshi Upanga kuna duka la Mzinga(bei fresh sana pale ila nyingi ni za kutoka nchi za kisoviet). Vile vile unaweza kuagiza ulaya kama unataka quality like Colt 45 na ikifika unaiclear halafu inahifadhiwa pale Tanganyika Arms mpaka upate kibali(Ila kuwa makini sana hapo maana inabidi jamaa wakutumie serial number ya bastola, wakiiuza na kuleta ingine kazi utakuwa nayo kwenye kuprocess kibali)

Urefu wa processes ni ili kila mtu aweze kushikishwa ipasvyo
sifa za kumiliki slaha mbona zinaeleweka jamani sema njaa za bongo ndo zinaletea watu kumiliki slaha bila utaratibu.yan unlawfull detention of fire arms.simply unaenda wizara ya mambo ya ndani kuna form utapewa ambayo itakua na badhi ya maswali yakujitosheleza.kwa mfano......... kwann umeamua kutaka kumiliki slaha...?,una mali kiasi gani znazokufanya upetition umiliki wa slaha.......nadhani utaratibu sio mgumu ukiwa na locus stand(intrest)
Nimeipenda nadhani inanifaa inauzwa sh ngapi na huko mzinga inapatikanaNdugu yangu, mshale wa kisasa ni more effective na efficent kuliko bastola. Na hauna matata kisheria unaweza kumiliki bila kibali, na ni mzuri sana kwa kupambana na majambazi na wezi, very silence! Ukikaa mahali na mishale yako ukifyautua hawezi kujua uko wapi, tofauti na bastola( Labda iwe na silencer) Lakini unatakiwa kujua namna ya kuutumia, Ushauri tu.
wajemeni eeh
kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia!
... nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu;
najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme,
na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha
huko!
Najua humu kuna wengi tu wanaomiliki silaha kikazi, na wanaomiliki
silaha kwa sababu kama zangu mie,..tatizo sijui "a" wala "be" nianzie
wapi, meaning sheria na taratibu zikoje Bongo kumiliki silaha, hivi kuna
duka la silaha Bongo?
wapi?
mfano; nikipata semi auto M92 Beretta yenye uwezo wa rounds 12 au 15
inatosha, au kuna 'limit' ya silaha ya aina gani naruhusiwa kuwa nayo?
natamani kuagiza nje lakini nahofia nisijebanwa na sheria za uingizaji
silaha...