huyu hilo swali atalikuta polisi central, akishindwa kujielezea lazima awe katika target za polisi
ila kweli kwamba silaha ni hatari sana tofauti na wengi wanavyofikiri, huwezi kumwambia hata mkeo akuchukulie ndani pia ni hatari kwa uhuru wako unaweza kwenda jela hivihivi kama taratibu zitafuatwa inavyotakiwa.
Habari wadau ningependa kupata taarifa ya process zinazohitajika kununua bunduki (bastola) na pia kujua bei na sehemu zinapouzwa.
Asante
utunzaji wake ni mgumu sana utatembea nae kama pumbu la sivyo wanaume watakunyang'anya
Shukran sana nduguUko uzi humu juu ya hii kitu. Search utapata mengi sana maoni.
1. Bunduki ni hatari kuliko maelezo, jiandae kwa hilo kwanza kabla ya kuamua kuwa nayo!!
2. Hata kama una hela kama BoT sisitiza kufuata taratibu zote zilizowekwa juu ya mchakato la sivyo utajuta hata kuwa na hizo pesa!!!
Ukiamua kumiliki bunduki basi umeamua kuwa na mume mwenza/mke wa pili hapo ndani!!! Anakuja kubadili mfumo wako wa maisha!!!
mkuu kwani kwanini unaitaji bunduki
Vipi kuna mtu anakumegea ze wife?
Vijana watanzania bwana wakikamata milioni 10,Brevis na vyumba viwili mavulunza na wao wanataka kumiliki bunduki,ni shida kweli.....Kama hauna matatizo na mtu,sio dhulumati haina haja ya kuwa na bastola.
Ni kwaajili ya self defense baada ya kupata vitisho(vitisho vya maisha) aidha ninunue silaha kuokoa maisha yangu pindi itakapohitajika au nisubiri kuuwawa
Ni kwaajili ya self defense baada ya kupata vitisho(vitisho vya maisha) aidha ninunue silaha kuokoa maisha yangu pindi itakapohitajika au nisubiri kuuwawa
Ni kwaajili ya self defense baada ya kupata vitisho(vitisho vya maisha) aidha ninunue silaha kuokoa maisha yangu pindi itakapohitajika au nisubiri kuuwawa
Habari wadau ningependa kupata taarifa ya process zinazohitajika kununua bunduki (bastola) na pia kujua bei na sehemu zinapouzwa.
Asante
Nimefurahia wote waliochangia,naomba nijuzwe sheria ya mtu kujilinda mwenyewe kwa kutumia silaha za moto kwa tanzania inasomekaje.mfano wajanja walikuja kwenye duka langu la mpesa na mapanga wakachukua mzigo tena nilikopa bank wakaondoka nao..
Je sheria inasemaje kama nina bastola,naruhusiwa kumpiga wapi?
je inakuwaje katika kujihami nikamjeruhi mtu mwingne labda mpita njia.
Je sheria inasemaje nikiamua kumkimbiza mhalifu sehemuyenye watu wengi kama mtaa wa kongo.
Nauliza haya mana nimeibiwa mara mbili ila marafiki zangu ambao wako kwenye vyombo vya usalama wananikataza nisimiliki bastola