The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Bongo bwana hapo kama huna Connection na wakubwa hiyo hicho kibari kuja kukipata ni ndoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OCD ndie atazipeleka Idara ya Usalama wa Taifa Wilaya. Wao watazipitia na watakupigia kukuhoji mawili matatu. Wakimaliza wanazirudisha kwa OCD.OCD na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya watakuita kwa mahojiano. Kutoka ulipoziacha kwa OCD mpaka upigiwe simu na Usalama wa Taifa inachukua kama miezi 3.
ase wewe ni meku maana wote kutoka kaskazini wamenunua mnaajenda gani asee
Usisumbuke na mzunguko huo,nunua siraha weka ndani basi,hiyo mikutano ya kukujadili ndipo wabaya wako watafahamu una siraha aina gani,siku wanakuvamia itakuwa rahisi sana. Kuna jamaa anazitengeneza Kwa 50,000/= tena ukija na chupa la gongo anaweza kukuuzia hata ya mteja wake aliyechelewa kuifuata. Ukikamatwa usinitaje kuwa Ng'wanapagi alinipotosha kwani inatakiwa usiwe na ugomvi na mke wako la sivyo ukimzigua anapeleka ripoti polisi hapo ndipo utakoma kupenda vitu vya karibu na bure.
Hivi wanaruhusu kumiliki hadi Ak-47 ?
Na kwa Mfano nataka nimiliki silaha ila sijui kuitumia, kuna labda kitengo cha polisi cha kutoa mafunzo au unajifunza vipi?
your help mkuu..
Usisumbuke na mzunguko huo,nunua siraha weka ndani basi,hiyo mikutano ya kukujadili ndipo wabaya wako watafahamu una siraha aina gani,siku wanakuvamia itakuwa rahisi sana. Kuna jamaa anazitengeneza Kwa 50,000/= tena ukija na chupa la gongo anaweza kukuuzia hata ya mteja wake aliyechelewa kuifuata. Ukikamatwa usinitaje kuwa Ng'wanapagi alinipotosha kwani inatakiwa usiwe na ugomvi na mke wako la sivyo ukimzigua anapeleka ripoti polisi hapo ndipo utakoma kupenda vitu vya karibu na bure.
Anatengeneza silaha gani?
Bastola aina zote na anakufundisha kulenga shabaha, Huwa kuna mtu mkubwa unafanyia jaribio jinsi risasi inavyopenya vichakani.
Una kampuni!
Sina kampuni? kampuni ya Nini sasa
Huwez kupewa 47 kwa mtu binafsi
KWA kifupi ni zoezi linaloweza kuchukua kati ya miezi 9 mpaka miezi 12.KAMA UNA swali uliza