Mods bhana. Uzi wangu wameuleta tena hapa. Dah!Wakuu amani iwe kwenu.
Nimeshawishika kununua bastola maana naona vibaka wanatishia sana amani hii mitaa yetu. Na hali hii imepelekea hadi sisi wanaume wa Dar kudharaulika kuwa tunaogopa vijana wanaojiita taifa jipya. Na mpaka Waziri wa mambo ya ndani naye kashangaa kuona wanaume wa Dar tunakimbilia chumbani pindi tunapowaona hawa vijana wanaojiita taifa jipya na panya roads.
Naomba mnifahamishe bastola inauzwa bei gani na zinapatikana maduka gani?
Je, kuna masharti gani au vigezo gani natakiwa kukidhi ili kuinunua?
Nawasilisha.
Rais2020
Ya kupigia wanyama au watu??
Hiyo ni nzuri zaidiUkiona urasimu bongo mkubwa kama ilivyo jadi,sema nikupe bastola ya kijadi.Haina usajili,leseni haina wala hakuna atakayejua kama unayo.Bastola hiyo ni kwa ajili ya kuzuia wezi tu si kuua wala kwenda kuibia.
Ni kimti fulani unaweka home kwako basi,wezi wakija nyumba hawaioni basi,kama una mshiko mkubwa,basi unanusa kijiti chako,vibaka/wezi hawakuoni.Hizo za kisasa balaa.
Utaratibu wa kufuata ili uruhusiwe kumiliki Ak47,SMG ,riffle nk ni lazima uwe askari wa moja ya majeshi yetu TZ uliyeajiriwa, AU UMEZE SUPER GLUE MBILI TU MAANA NI TAMU SANA NA HUCHANGAMSHA AKILI.Habari wana jf
Ni ruhusa ku miliki silaha kama AK 47,smg,au asault riffle je ni taratibu gani za kufuata nisikiuke sheria za nchi lengo ni kujilinda tu maana nnaishi msituni mbali sana na mji nimeamua kuishi huku mi na familia yangu ili kufanya shughuli nyingine za kujikimu kimaisha,