Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Heshima kwenu wadau.
Ninahitaji kununua silaha ndogo ya mfukoni (bastola). Taratibu zingine za kiusalama (gun permit) nimeshazikamilisha, sasa natakiwa nipeleke "specifications" za silaha ninayotaka kuimiliki. Ninaomba kwa wale mnaojua kuliko mimi mnisaidie ninunue bastola yenye sifa zipi, (nataka iliyo more effective, more portable and safe). Pengine ingenisaidia zaidi ukanitajia na maduka wanayouza iwe Dar, Arusha au Mwanza.

Samahani wakuu, ni kwa ajili ya ulinzi binafsi tu, siyo vinginevyo.
 
Just google..the best 9mm pistols...au 7.65 utakuta list ya kutosha

ilishawahi kuongelewa humu na mwisho ikawa sio silaha ila mtumiaji na utumiaji ndo utakufanya uwe salama au mashakani kuliko ulivyo sasa!!!!!

Kwa maduka nenda Tanganyika Arms na Mzinga. ,Ukiwa na 3m utakuwa na uhuru zaid katika uchaguzi
 
Duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe hivyo vitu vina bei kubwa hivyo!!!? 3m!!!!!!!
 
kuna uzi humu unaeleza kwa kirefu sana kuhusu umiliki wa silaha na upatikanaji wake, jaribu kuutafuta.!!
 
Nenda Tanganyika Arms....jaribu kuuliza Gloack 19 au Berreta au Browning au CZ175....bei ndio hiyo 3Mil!kama upo Dar piga 0222131484
 
siyo gharama kubwa ni $430-$630, likin kuipata ndyo mtihani mkubwa, na ni lazima kuwa na strong reasons.
Mkuu usimtie tamaa kwa bei hizo halafu akaonekane wa ajabu madukani....

Labda tuulizane; hizi bei ni za wapi na silaha gani maana equivalent atapata shortguns na burgers kwa ulinzi wa mifugo na mazao shambani
 
Duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe hivyo vitu vina bei kubwa hivyo!!!? 3m!!!!!!!

ndio maana watu wanatumia njia ya mkato,unamvizia polisi,unamtandika rungu,anaanguka,unamnyang'anya silaha, unambaka(haijalishi jinsia),unamuua au pia unaweza usimuue kwani ameshakuburudisha,then unasepa.!SIMPLE KABISA
 
ndio maana watu wanatumia njia ya mkato,unamvizia polisi,unamtandika rungu,anaanguka,unamnyang'anya silaha, unambaka(haijalishi jinsia),unamuua au pia unaweza usimuue kwani ameshakuburudisha,then unasepa.!SIMPLE KABISA

Aisee, wapo watu wanaoleta mizaha kwenye suala muhimu hivi? Hii haifai hata kidogo!
Haya ni matokeo ya serikali kuwachonganisha Polisi na raia.
 
ndio maana watu wanatumia njia ya mkato,unamvizia polisi,unamtandika rungu,anaanguka,unamnyang'anya silaha, unambaka(haijalishi jinsia),unamuua au pia unaweza usimuue kwani ameshakuburudisha,then unasepa.!SIMPLE KABISA

kuna watu mnatumia makanyagio kufikiri
 
Unapotaka kumiliki silaha, unatakiwa kupeleka ombi /barua katika kamati ya ulinzi na usalama ya mtaa/kijiji ikiwa na maelezo ya lengo la kutaka kumiliki silaha husika na aina ya silaha.
kamati ya ulinzi na usalama ya mtaa/kijiji itajadili ombi lako na kuliwasilisha kwa kamati ya ulinzi na usalama ya kata ambayo m/kiti ni mtendaji wa Kata na katibu ni OCS (MKUU WA KITUO KIDOGO CHA POLISI).

Baada ya kujadiliwa, kamati hiyo itawasilisha muhtasari wa kijiji/mtaa na ule wa kata kwa mkuu wa polisi wa wiliya(OCD)/manispaa atawasilisha kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya.

Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ndiyo yenye mamlaka ya mwisho ya kubariki maamuzi ya kamati za mtaa/kata au kubatilisha.
 
Silaha ni PESA mjomba, Bastola ni MZIGO tu. Hata ukivamiwa ukatoa pesa unasamehewa ila ukichomoa pistol unauawa jombaa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nauliza sifa za kumiliki silaa mfano bastola ni zipi kwa sheria za Tanzania?
 
jamani jibuni vizuri basi japo kuna uhuru wa kutoa maon lakini hapa tuna kwanzana kama vp nendeni kwenye hoja mchanganyiko mtapata muda wa vijembe na vichekesho ukiona mtu ameuliza hapa basi ametingwa kweli tunapo fanya mzaha hata wataalam wanatuona tuna piga porojo nakupotezea watu tunayetu tumesha uliza lakin hakuna hata kajibu kamoja wahusika wanajionea kama ngano za wahengatu
 
sifa za kumiliki slaha mbona zinaeleweka jamani sema njaa za bongo ndo zinaletea watu kumiliki slaha bila utaratibu.yan unlawfull detention of fire arms.simply unaenda wizara ya mambo ya ndani kuna form utapewa ambayo itakua na badhi ya maswali yakujitosheleza.kwa mfano......... kwann umeamua kutaka kumiliki slaha...?,una mali kiasi gani znazokufanya upetition umiliki wa slaha.......nadhani utaratibu sio mgumu ukiwa na locus stand(intrest)
 
-Uwe na akili timamu!
-Umri wako usiwe chini ya miaka 18!
-Uwe na sababu shawishi za 'kwanini unahitaji kuwa nayo'
-Hujawahi kupatikana na jinai yoyote!
 
Back
Top Bottom