Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

Nimezaliwa Mwanza ila kwa sasa Niko dar, je naweza kukipata hapahapa dar au mpaka niende mwanza
 
Vp huko rita ,kama akisema amezaliwa kigoma

Ova


Pale ni makao makuu, wanaweza kumsaidia akiwa Dar akikamilisha taratibu za Polisi na RB. Ikumbukwe hapa wanatoa nakala nyingine ya cheti ambacho tayari walikwisha kitayarisha na kukupatia awali (kinakuwa ni original).

Sina uhakika, lakini kunaweza kuwa na kulipia kiasi fulani cha pesa.
 
Maswali ya msingi
Umezaliwa wapi
Wazazi wako ni akina nani
Ndugu zako ni akina nani
Una nakala za vyeti vingine vya masomo?
Card ya clinic na hospital uliyozaliwa nknk
 
Maswali ya msingi
Umezaliwa wapi
Wazazi wako ni akina nani
Ndugu zako ni akina nani
Una nakala za vyeti vingine vya masomo?
Card ya clinic na hospital uliyozaliwa nknk
Kadi ya kliniki sina ila vingine vyote vipo
 
Back
Top Bottom