A
kua mstahilivu na mwenye subra gentleman, nadhani hiyo ni awamu ya kwanza, huenda uko katika kundi la awamu ya pili ikiwa umetimiza vigezo na masharti tajika πHabari, ninaandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2026, nikiwa nimesoma mchepuo wa PCB katika shule ya serikali.
Katika matokeo yangu ya kidato cha nne nilipata Division One ya pointi 7, na kutokana na juhudi zangu nilichaguliwa kuendelea na kidato cha tano katika shule ya serikali. Niliendelea kujituma kwa bidii katika masomo yangu, na kwa msaada wa Mungu nilifanikiwa kupata Division One ya pointi 5 katika kidato cha sita, nikiwa na alama za Physics B, Chemistry A na Biology B.
Hata hivyo, katika orodha iliyotolewa jana ya waliochaguliwa, jina langu halipo. Kinachoniumiza zaidi ni kuona baadhi ya watu wenye Division One ya pointi 9 wamejumuishwa huku mimi nikiwa nimepata matokeo bora zaidi.
Hali hii imeniumiza sana, kwani nimejitahidi kwa muda mrefu na nilikuwa na matumaini makubwa. Naomba mamlaka husika zifanye mapitio na kutoa ufafanuzi ili kuhakikisha mchakato unakuwa wa haki na wenye kuzingatia sifa za waombaji.
Unazungumzia bahati utawala huu?Ongelea tatizo lako bila kusanifu bahati za wengine.
Kama sikosei huyu anaongelea mikopo hesbl, sasa wote waliopata ni connection?Unazungumzia bahati utawala huu?
Hiyo ni connection mamy.
Sio mikopo, ni scholarship...Kama sikosei huyu anaongelea mikopo hesbl, sasa wote waliopata ni connection?
Aangalie alikosea wapi atulie sio kuwasagia kunguni wengine waliopata
Bado haimpi kibali cha kuwabughudhi waliochaguliwaSio mikopo, ni scholarship...
Ni utaratibu ulionzishwa na rais Samia kuwawezesha vijana waliofaulu vizuri kupata elimu nje ya nchi bila shaka...
Heslb asingekosa naamini...
Na ndani ya nchi pia.Sio mikopo, ni scholarship...
Ni utaratibu ulionzishwa na rais Samia kuwawezesha vijana waliofaulu vizuri kupata elimu nje ya nchi bila shaka...
Heslb asingekosa naamini...
Mtoto wa mkulima na Samia scholarship wapi na wapi nchini Tanzania?Na ndani ya nchi pia.
Nasisitiza hiyo siyo mikopo.
Unalipiwa 100% bure na hiyo scholarship. Ulimaliza huna deni na heslb.
Cc: ephen_
Unamwambia huenda asuburi.kua mstahilivu na mwenye subra gentleman, nadhani hiyo ni awamu ya kwanza, huenda uko katika kundi la awamu ya pili ikiwa umetimiza vigezo na masharti tajika π
ok.πUnamwambia huenda asuburi.
Atasubiri hadi azeeke.
Nimeandika Uzi humu kupongeza samia scholarship ila nikatahadharisha udini au upendeleo jambo linalojitokeza.
Shame on you
Acha upumbavu na wewe kutukana wasomiWacha upumbavu kabebe Zege.!
Jikubali ili maisha yakujubali hiyo ni Code jombaa
Kutimiza vigezo gani,au atoe rushwa while matokeo yake yanambeba!?kua mstahilivu na mwenye subra gentleman, nadhani hiyo ni awamu ya kwanza, huenda uko katika kundi la awamu ya pili ikiwa umetimiza vigezo na masharti tajika π
application zote hufanyika kwenye mtandao gentleman na si vinginevyo.Kutimiza vigezo gani,au atoe rushwa while matokeo yake yanambeba!?
Hana connection tu,kwanza ile 1.7 ya o level kutoka shule ya kata tu inaonekana dogo ni kichwa,then advance 1.5 PCB dogo ana opportunity zote za kupata nafasi sema dogo hana connectionOngelea tatizo lako bila kusanifu bahati za wengine.