ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,828
- 5,728
Yaa zeege on highestDuh, zege tena!
Yaa zeege on highestDuh, zege tena!
Cc: Lucas MwashambwaHabari, ninaandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2026, nikiwa nimesoma mchepuo wa PCB katika shule ya serikali.
Katika matokeo yangu ya kidato cha nne nilipata Division One ya pointi 7, na kutokana na juhudi zangu nilichaguliwa kuendelea na kidato cha tano katika shule ya serikali. Niliendelea kujituma kwa bidii katika masomo yangu, na kwa msaada wa Mungu nilifanikiwa kupata Division One ya pointi 5 katika kidato cha sita, nikiwa na alama za Physics B, Chemistry A na Biology B.
Hata hivyo, katika orodha iliyotolewa jana ya waliochaguliwa, jina langu halipo. Kinachoniumiza zaidi ni kuona baadhi ya watu wenye Division One ya pointi 9 wamejumCc: @luishwa huku mimi nikiwa nimepata matokeo bora zaidi.
Hali hii imeniumiza sana, kwani nimejitahidi kwa muda mrefu na nilikuwa na matumaini makubwa. Naomba mamlaka husika zifanye mapitio na kutoa ufafanuzi ili kuhakikisha mchakato unakuwa wa haki na wenye kuzingatia sifa za waombaji.
Cc: ChoiceVariableHabari, ninaandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2026, nikiwa nimesoma mchepuo wa PCB katika shule ya serikali.
Katika matokeo yangu ya kidato cha nne nilipata Division One ya pointi 7, na kutokana na juhudi zangu nilichaguliwa kuendelea na kidato cha tano katika shule ya serikali. Niliendelea kujituma kwa bidii katika masomo yangu, na kwa msaada wa Mungu nilifanikiwa kupata Division One ya pointi 5 katika kidato cha sita, nikiwa na alama za Physics B, Chemistry A na Biology B.
Hata hivyo, katika orodha iliyotolewa jana ya waliochaguliwa, jina langu halipo. Kinachoniumiza zaidi ni kuona baadhi ya watu wenye Division One ya pointi 9 wamejumuishwa huku mimi nikiwa nimepata matokeo bora zaidi.
Hali hii imeniumiza sana, kwani nimejitahidi kwa muda mrefu na nilikuwa na matumaini makubwa. Naomba mamlaka husika zifanye mapitio na kutoa ufafanuzi ili kuhakikisha mchakato unakuwa wa haki na wenye kuzingatia sifa za waombaji.
Uchumi wetu kama Taifa haumuwezeshi kila mwananchi kushiba. Unashibaje ? kwa ajira au unajiajiri.We fala usomi ni kula ukasiba kwanza.!
Mengine baadae
Hujazaliwa kulisha WananchiUchumi wetu kama Taifa haumuwezeshi kila mwananchi kushiba. Unashibaje ? kwa ajira au unajiajiri.
Rasilimali kibao ila zinawashibisha Nchi zingine, sisi ni njaa tele na kutekwa na kuuwawa.
Kikubwa ni connection unamjua nani na huyo naye anamjua nani basi!!!Mtoto wa mkulima na Samia scholarship wapi na wapi nchini Tanzania?
Nakubaliana na nyakubonga
Bro utaumia tu ni scholarship tu hiyo. Haki yako wanatoa wazazi.Habari, ninaandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2026, nikiwa nimesoma mchepuo wa PCB katika shule ya serikali.
Katika matokeo yangu ya kidato cha nne nilipata Division One ya pointi 7, na kutokana na juhudi zangu nilichaguliwa kuendelea na kidato cha tano katika shule ya serikali. Niliendelea kujituma kwa bidii katika masomo yangu, na kwa msaada wa Mungu nilifanikiwa kupata Division One ya pointi 5 katika kidato cha sita, nikiwa na alama za Physics B, Chemistry A na Biology B.
Hata hivyo, katika orodha iliyotolewa jana ya waliochaguliwa, jina langu halipo. Kinachoniumiza zaidi ni kuona baadhi ya watu wenye Division One ya pointi 9 wamejumuishwa huku mimi nikiwa nimepata matokeo bora zaidi.
Hali hii imeniumiza sana, kwani nimejitahidi kwa muda mrefu na nilikuwa na matumaini makubwa. Naomba mamlaka husika zifanye mapitio na kutoa ufafanuzi ili kuhakikisha mchakato unakuwa wa haki na wenye kuzingatia sifa za waombaji.
Hongera sana.Habari, ninaandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2026, nikiwa nimesoma mchepuo wa PCB katika shule ya serikali.
Katika matokeo yangu ya kidato cha nne nilipata Division One ya pointi 7, na kutokana na juhudi zangu nilichaguliwa kuendelea na kidato cha tano katika shule ya serikali. Niliendelea kujituma kwa bidii katika masomo yangu, na kwa msaada wa Mungu nilifanikiwa kupata Division One ya pointi 5 katika kidato cha sita, nikiwa na alama za Physics B, Chemistry A na Biology B.
Hata hivyo, katika orodha iliyotolewa jana ya waliochaguliwa, jina langu halipo. Kinachoniumiza zaidi ni kuona baadhi ya watu wenye Division One ya pointi 9 wamejumuishwa huku mimi nikiwa nimepata matokeo bora zaidi.
Hali hii imeniumiza sana, kwani nimejitahidi kwa muda mrefu na nilikuwa na matumaini makubwa. Naomba mamlaka husika zifanye mapitio na kutoa ufafanuzi ili kuhakikisha mchakato unakuwa wa haki na wenye kuzingatia sifa za waombaji.
Basi unaweza kukuta ni mwenyekiti wa uvccm mkoa flan halafu upeo wake wa akili ndio ule pale!!Kajaa Uchawa wa Kila kitu!
Pole sana,Mungu ni mwema,mtegemee yeye kila kitu kitakuwa sawa,hii dunia inauonevu sana,kaza moyoHabari, ninaandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2026, nikiwa nimesoma mchepuo wa PCB katika shule ya serikali.
Katika matokeo yangu ya kidato cha nne nilipata Division One ya pointi 7, na kutokana na juhudi zangu nilichaguliwa kuendelea na kidato cha tano katika shule ya serikali. Niliendelea kujituma kwa bidii katika masomo yangu, na kwa msaada wa Mungu nilifanikiwa kupata Division One ya pointi 5 katika kidato cha sita, nikiwa na alama za Physics B, Chemistry A na Biology B.
Hata hivyo, katika orodha iliyotolewa jana ya waliochaguliwa, jina langu halipo. Kinachoniumiza zaidi ni kuona baadhi ya watu wenye Division One ya pointi 9 wamejumuishwa huku mimi nikiwa nimepata matokeo bora zaidi.
Hali hii imeniumiza sana, kwani nimejitahidi kwa muda mrefu na nilikuwa na matumaini makubwa. Naomba mamlaka husika zifanye mapitio na kutoa ufafanuzi ili kuhakikisha mchakato unakuwa wa haki na wenye kuzingatia sifa za waombaji.
Habari, ninaandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2026, nikiwa nimesoma mchepuo wa PCB katika shule ya serikali.
Katika matokeo yangu ya kidato cha nne nilipata Division One ya pointi 7, na kutokana na juhudi zangu nilichaguliwa kuendelea na kidato cha tano katika shule ya serikali. Niliendelea kujituma kwa bidii katika masomo yangu, na kwa msaada wa Mungu nilifanikiwa kupata Division One ya pointi 5 katika kidato cha sita, nikiwa na alama za Physics B, Chemistry A na Biology B.
Hata hivyo, katika orodha iliyotolewa jana ya waliochaguliwa, jina langu halipo. Kinachoniumiza zaidi ni kuona baadhi ya watu wenye Division One ya pointi 9 wamejumuishwa huku mimi nikiwa nimepata matokeo bora zaidi.
Hali hii imeniumiza sana, kwani nimejitahidi kwa muda mrefu na nilikuwa na matumaini makubwa. Naomba mamlaka husika zifanye mapitio na kutoa ufafanuzi ili kuhakikisha mchakato unakuwa wa haki na wenye kuzingatia sifa za waombaji.
Wewe ni mpuuziKuna muda ubinafsi unaweza kukukosesha nafasi nzuri sana kwenye maisha, haijalishi una akili kiasi gani ila jitahidi uache roho ya wivu na ubinafsi.
Ulipaswa unyooke wewe kama wewe, jisemee jambo lako bila kushambulia mtu mwingine.
Ungesaidika vyema ila unaroho ya wivu na kujiona bora kuliko wengine, na hii ndiyo inafanya nyie mnaojiita wasomi mnaakili nyingi KUFELI KATIKA MAISHA NA MICHONGO HUWA HAMPATI
#Hallelujah!!!
Waambie wazazi wako wakupeleke shule. Acha kulialia umaskini na kupenda vya bure. Utadumaa akili na kuishia kuwa maskini na kuendeleza Vicious Circle of Poverty ya famila.Habari, ninaandika uzi huu nikiwa na maumivu makubwa moyoni. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2026, nikiwa nimesoma mchepuo wa PCB katika shule ya serikali.
Katika matokeo yangu ya kidato cha nne nilipata Division One ya pointi 7, na kutokana na juhudi zangu nilichaguliwa kuendelea na kidato cha tano katika shule ya serikali. Niliendelea kujituma kwa bidii katika masomo yangu, na kwa msaada wa Mungu nilifanikiwa kupata Division One ya pointi 5 katika kidato cha sita, nikiwa na alama za Physics B, Chemistry A na Biology B.
Hata hivyo, katika orodha iliyotolewa jana ya waliochaguliwa, jina langu halipo. Kinachoniumiza zaidi ni kuona baadhi ya watu wenye Division One ya pointi 9 wamejumuishwa huku mimi nikiwa nimepata matokeo bora zaidi.
Hali hii imeniumiza sana, kwani nimejitahidi kwa muda mrefu na nilikuwa na matumaini makubwa. Naomba mamlaka husika zifanye mapitio na kutoa ufafanuzi ili kuhakikisha mchakato unakuwa wa haki na wenye kuzingatia sifa za waombaji.
Kuna muda ubinafsi unaweza kukukosesha nafasi nzuri sana kwenye maisha, haijalishi una akili kiasi gani ila jitahidi uache roho ya wivu na ubinafsi.
Ulipaswa unyooke wewe kama wewe, jisemee jambo lako bila kushambulia mtu mwingine.
Ungesaidika vyema ila unaroho ya wivu na kujiona bora kuliko wengine, na hii ndiyo inafanya nyie mnaojiita wasomi mnaakili nyingi KUFELI KATIKA MAISHA NA MICHONGO HUWA HAMPATI
#Hallelujah!!!
vigezo vikuu viwili ambavyo ni jinsia na uhitaji maalum