figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Umeambiwa shida ni mkopo? Mbona unakurupuka?Hao Chadema wanatoa mikopo?
Umeambiwa shida ni mkopo? Mbona unakurupuka?Hao Chadema wanatoa mikopo?
Siku izi wanofaulu wapo wengi sanaaaaa yni kupata 1.7 sio shida kabisaaa kwaio ndo inakuja iyo bahati tenaNi mambo ya bahati Tena !? Na sio kwamba watu wanachanguliwa Kwa vigezo !??
Ingekuwa ni mambo ya bahati Siwange wachukia hata falier!!!!