HOJA Taratibu za kupata Samia Scholarship zipoje? Iweje nipate division ya 1.5 nikose na wenye 1.9 wapate?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dogo hongera umepambana. Naomba nikutie moyo huwenda haikuwa bahati yako. Omba mkopo bodi ya mkopo lazima utapata then endelea na masomo yako utatoboa tu.
 
Nenda Lumumba
 
Hamna ubinafsi,fanya research upande wa mikopo ya helsb,halafu angalia kama kuna mtoto wa top yoyote amekosa mkopo,wengi wanaokosa mikopo ni wale makapuku
 
Hiyo ya mwenye point 9 kupata hiyo scholarship itakuwa uwongo, km ni kweli taja jina lake hiyo siyo siri ndiyo maana we umejua.
 
Hivi ndivyo vigezo vya hiyo scholarship kweli?

Ni Ufaulu wa Juu, tena ni Ufaulu wa Juu kwenye masomo ya sayansi na hisabati.

Haya ya jinsia na uhitaji maalumu utuwekee chanzo chake.
Soma post yote mkuu, nimeandika wahitimu wanakuwa ranked kuanzia wa kwanza hadi idadi inayohitajika separately kwa jinsia
 
Acha usenge, Samia sio Rais halali, ungana na watanganyika kupigania nchi,
 
Habari mkuu, kwani una mtu kwenye system? πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½
 
Uliomba?
Huyo mwenye one ya tisa ni me au ke,comb gani?
 
katika kidato cha sita, nikiwa na alama za Physics B, Chemistry A na Biology B.

Hata hivyo, katika orodha iliyotolewa jana ya waliochaguliwa, jina langu halipo.
Hauna undugu na mtu yoyote wa CHADEMA?
 
Ufadhili wenyewe ni wa Samia. Laana zingine jaribu uzipitie mbali. Utakuja kufadhiliwa na damu zilizomwagika upate laana mpaka kiama.
 
Shukuru kwa kila jambo linalokukuta huwezi jua nini kitatokea baada ya wewe kupata hio scholar

Waswahili wanasema BAHATI YA MWENZIO USIILALIE MLANGO WAZI
Ni mambo ya bahati Tena !? Na sio kwamba watu wanachanguliwa Kwa vigezo !??

Ingekuwa ni mambo ya bahati Siwange wachukia hata falier!!!!
 
Unaweza kukuta Tanzania nzima wanafunzi waliopata 1.5 PCB hawafiki mia,then kuna mjinga huko juu eti anadai dogo hajatimiza vigezo!
Mabwege sana halafu Kuna watu wanasema ni bahati πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜†

Bahati ni jambo ambalo humfika hata ambaye Hana vigezo
 
Pole sana ,ni kawaida sana ,sisi enzi zetu tunapambania scholarship enzi za TIRDO kuna jamaa alipata scholarship alikuwa na Div II ya Point 10 na ana D ndani ,kuna mitambo ilikuwa na A flats wakalambishwa mchanga.
 
Urefu wako uko vipi?
 
Na ndani ya nchi pia.
Nasisitiza hiyo siyo mikopo.
Unalipiwa 100% bure na hiyo scholarship. Ukimaliza huna deni na heslb.
Cc: ephen_
Uta maliza bila den kama utaendelea kufaulu vizuri kwa wastani ulio wekwa uki cheza tu wana kuachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…