Hapo pa maamuzi ya mwisho kutokuwa nayo ndio useless ulipo na work done kuwa zero especially Kwa Dunia ya Sasa ya watu waliowekeza kwenye ujasusi wa kiuchumi huku kwetu mambo madogo hata ya rushwa yatushinda, na nikisoma hii story na Niki reflect kikwetu tutakuwa tuko uchi hasa Kwa wapenda feza kuwa double agent walla~Mosi mboga za majani ndio wapo vitengo nyeti
~pili wanasiasa ni mboga za majani
~tatu wanashare the same ideology ambayo ni solid state sio flexible
~nne waliopo vitengo wengi wanakuwa appointed na kazi ni kuprocess na kupendekeza na hawana maamuzi ya mwisho.
Uko deep aisee. Nitakuwekea order ya paya na Pepsi baridi kesho.Hapo pa maamuzi ya mwisho kutokuwa nayo ndio useless ulipo na work done kuwa zero especially Kwa Dunia ya Sasa ya watu waliowekeza kwenye ujasusi wa kiuchumi huku kwetu mambo madogo hata ya rushwa yatushinda, na nikisoma hii story na Niki reflect kikwetu tutakuwa tuko uchi hasa Kwa wapenda feza kuwa double agent walla
Nadhani Hilo ndio lengo hasa kufikia target ya jambo lako Kwa msitakabali wa u super power ku maintain. So kwenda bila target ni wastage of time.U.S wao wanaangalia key stakeholders kufikia lengo ndio maana hata usishangae baadhi yao wapo humu,tangu wafanyiwe mbaya kule japan wamejichimbia kila kona ya dunia na nguzo ya kubwa ni ulaghai wa pesa kupata info.
Umeona niwekee na nyama choma kabisaUko deep aisee. Nitakuwekea order ya paya na Pepsi baridi kesho.
wapo na inasikitisha sana maana wengi ambao ni double agent ndio remote control wa taifa the so called "wenye nchi"Hapo pa maamuzi ya mwisho kutokuwa nayo ndio useless ulipo na work done kuwa zero especially Kwa Dunia ya Sasa ya watu waliowekeza kwenye ujasusi wa kiuchumi huku kwetu mambo madogo hata ya rushwa yatushinda, na nikisoma hii story na Niki reflect kikwetu tutakuwa tuko uchi hasa Kwa wapenda feza kuwa double agent walla
Wenzetu wako mbali sana wanathamini uchumi na kuupigania kwa gharama yoyote ile hata chipukizi wa biashara na wazo lolote la kibunifu wanasapoti kwa gharama yoyote hata kwa damu wako tayari mfano kina elon musk,bill gate,jack ma etc ni mazao ya vitengo vya ujasusi wa kiuchumi na wanathamini wasomi na mawazo yao (education is the powerful weapon u can use to change the world~mandela)Nadhani Hilo ndio lengo hasa kufikia target ya jambo lako Kwa msitakabali wa u super power ku maintain. So kwenda bila target ni wastage of time.
And I think hii ya kutoa fedha USA imenasa mataifa mengi in the name of aid, mara afya, Sasa kwetu Africa ndio kwishney kabisa nadhani hata wanasiasa uchwara Huwa wanadaganyika kisa fedhwa.
But I believe nchi zilizoendelea zimewekeza kwenye inteligensia ndio maana wanatoboa kiuchumi imagine USSR isingevunjikaga Leo wangekuwa mbali shida wasaliti, vile vile China kuendelea waliwekeza kiuchumi na kiinteligence.
Leo afadhari katutoa mning'inio ,hajatuwekaR
Kutafsiri KIRUSI balaa,..lazima unywe VODKA za kutosha,..Usikute jamaa kazidiwa na Alcohol [emoji23][emoji23]
Tanzania tutafika peponi tumechoka hao wenye nchi ndio wanaingia mikataba ya kimichongo chongo tu kisa fedhawapo na inasikitisha sana maana wengi ambao ni double agent ndio remote control wa taifa the so called "wenye nchi"
Huku kwetu virce vesa, hata wataalamu hawaheshimiwi hata chembeWenzetu wako mbali sana wanathamini uchumi na kuupigania kwa gharama yoyote ile hata chipukizi wa biashara na wazo lolote la kibunifu wanasapoti kwa gharama yoyote hata kwa damu wako tayari mfano kina elon musk,bill gate,jack ma etc ni mazao ya vitengo vya ujasusi wa kiuchumi na wanathamini wasomi na mawazo yao (education is the powerful weapon u can use to change the world~mandela)
Wanasiasa wengi ni hao hao. Serikalini hupandi cheo bila kuwa wao.Duh kumbe huko kote Huwa wanaenda, Kuna mtu namfahamu Yani matendo yake alienda kusoma Israel na mafunzo ya juu na kaenda nchi mbalimbali Sasa nikisoma hii story nimeelewa vitu vingi.
Ila hivi inakuwaje wanasiasa waongo waongo kuvishinda vyombo nyeti kinguvu, why wanasiasa wako more powerful in our country Hadi kuharibu weledi?
kama tungekua tunapata za nyumbani,hasa kipindi cha ukombozi na kupambana na makaburu kipindi kile,tungesikia matukio kama hayaIla hawajawa smart Kwa kiasi hicho tumeachwa mbali vilevile nchi yetu Haina mambo mengi.
Ila vijana wa chama mboga Huwa hawanaga akili na u smart wowote
Matokeo yake nao wanakimbilia kwenye siasa na wanaukana utaalam wao.Huku kwetu virce vesa, hata wataalamu hawaheshimiwi hata chembe