Nadhani Hilo ndio lengo hasa kufikia target ya jambo lako Kwa msitakabali wa u super power ku maintain. So kwenda bila target ni wastage of time.
And I think hii ya kutoa fedha USA imenasa mataifa mengi in the name of aid, mara afya, Sasa kwetu Africa ndio kwishney kabisa nadhani hata wanasiasa uchwara Huwa wanadaganyika kisa fedhwa.
But I believe nchi zilizoendelea zimewekeza kwenye inteligensia ndio maana wanatoboa kiuchumi imagine USSR isingevunjikaga Leo wangekuwa mbali shida wasaliti, vile vile China kuendelea waliwekeza kiuchumi na kiinteligence.